Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani it will be the grandest parade of all...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man, we have set our own untouchable minimum standards and that are breaking and setting new records and beating everyone who come in front of the boys! Liverpool you will kill me!!
 
Hiv washabiki wachelsea sikuhizi inamaana hawauoni huu uzi jamani maana kuna kipind tulikuwa nao wengi sana humu
Mkuu hao sasa hivi ni sawa na hadithi ya Yesu na mwanamke mzinzi aliyeletwa mbele yake. Wakati anaandika andika pale chini huku washitaki wa yule mwanamkw wakawa wanatoka mmoja mmoja kuanzia mkubwa kabisa mpaka Mdogo kabisa kwenye kundi! Na sisi tulichowafanyia tumekuja kuinua uso hivi walishakimbia mmoja baada ya mwingine! WAKO WAPI WASHITAKI WETU WA VAR?
 
Man, we have set our own untouchable minimum standards and that are breaking and setting new records and beating everyone who come in front of the boys! Liverpool you will kill me!!
Hahahaha don't die now bwana it's coming home May 2020...

19th and it's sweet than ever breaking records...

Klopp revolution of EPL league taking effect...

Ni raha sana kushabikia timu ya ushindi...

🔥🔥🔥🔥Fire burning at Reds hii ni mpaka litue nyumbani end of the league..

YNWA
 
Captain,, ha ha haaaa, wacha niahirishe kufa kwa ajili ya furaha ya Liverpool, naomba nikiri kabisa mimi hapa ni kaka yenu kipindi chote cha miaka 30 ya kusubiri nimekuwapo naishabikia Liverpool! Wacha nilisubiri mwaka huu,, hakika "it pays to be patient"
 
Congrats ulichagua vyema sana kushabikia hii Timu sasa unaishi kwa raha kama zote huku unatembea kifua mbele...

Hongera pia kubakia Liverpool wapo wengi wametukimbia baada ya kuona kila mwaka tunasogea kulidaka kombe mwishowe linaponyoka na tulikua msimu unaofuata hata Big four hatuipati huku wachezaji wetu wakidai kuondoka ama kuuzwa...sasa tangu aje Klopp mambo yamebadilika sana mission yake kuu ni EPL taji la 19 lakini humo humo tumeambulia makombe matatu makubwa mno huku baba lao EPL ikija nyumbani Mei 2020...

Once a Red at Heart always a Red...

YNWA
 
Hiyo sentensi ya mwisho mkuu umenikosha sana kwamba once a red at heart.... Na kweli hata mashabiki wa kule ukiwasikiliza wakiimba Mwanzo mwisho!
 
Liverpool will use Loris Karius in a player-plus-cash deal in an attempt to sign Trabzonspor goalkeeper Ugurcan Cakir in the summer.

The Reds will offer the Turkish side £8.5m plus Karius for the 23-year-old’s services. [Karadeniz Gazetesi]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…