Hiyo possible red card huioni mkuu???!au umefumba macho.Unasemaje haihusiki wakati mane magoli yake mawili yamekataliwa na VAR?
Uy0 haangalii match,,,Ana c0py & paste2Unasemaje haihusiki wakati mane magoli yake mawili yamekataliwa na VAR?
Turudi kwenye point ya msingi kuwa mechi za liver VAR haitumiki sasa magoli ya mane yalikataliwa vipi na VAR wakati haitumiki?
Sasa nimekuelewa kumbe una moyo mgumuKwa Liverpool hii Unatakiwa uwe na moyo mgumu kama wangu mimi wa kuingia hapa na kukoment negatives hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika mzee?katika game za jana hii ndo ilikuwa game kubwa sasa naachaje kuangalia?au unanijua sana mzee????Uy0 haangalii match,,,Ana c0py & paste2
😁😁Huwag siixhiw kichek0 nikiangalia pr0file picture yak0,, ,,Mna jua kujipam0y0 nyieKwa Liverpool hii Unatakiwa uwe na moyo mgumu kama wangu mimi wa kuingia hapa na kukoment negatives hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah hiyo kauli nimeitumia tu kusherehesha ila kiukweli VAR imekuwa mwiba mchungu na msaada kwa baadhi ya timu...na nyinyi muna upepo nayo hilo halina ubishi.Turudi kwenye point ya msingi kuwa mechi za liver VAR haitumiki sasa magoli ya mane yalikataliwa vipi na VAR wakati haitumiki?
Ongeza volume kidogo... Mimi naweka beat SawaHivi mnafikiri tumetosheka? Hapana. Tutapiga. Tutaendelea kuwapiga. Tutawapiga hadi mtambae. Narudia tena tutawapiga sana. Klopp hawezi kushangilia vijiushindi hivi vidogo vidogo. Kuna timu tunazidai. Yaani tutazipiga. Point 61 katika mechi 21 si kitu kidogo, ni Premier League special record, ila vijana wanataka zaidi. Mentality iliyopandikizwa kwenye hii timu sio kuridhishwa na ushindi wa goli moja maana tunajua wapinzani wetu mmejipanga kutusimamisha hivyo tunataka tuwapige haswa ili mgundue kwamba kweli mlipambana na Liverpool. Tutawapiga sana. Next stop ni Anfield na tunawakaribisha Manjesta. Tutawapiga.
VOLUME UP TUTAWAPIGA MJUE MNAPAMBANA NA THE BEAST.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nd0 mlivy wa2 wa arsenal 👎👎👎Una uhakika mzee?katika game za jana hii ndo ilikuwa game kubwa sasa naachaje kuangalia?au unanijua sana mzee????
Hii game nimeichake mwanzo mwisho....na kwa kifupi kukataliwa magoli ya mane isiwe sababu ya kufumbia makosa mengine inabidi uache ushabiki....enjoy soccer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida tu mzee.....zamu yenu nw[emoji16][emoji16]Huwag siixhiw kichek0 nikiangalia pr0file picture yak0,, ,,Mna jua kujipam0y0 nyie
Liverpool imeshanyimwa four goalsHahahahah hiyo kauli nimeitumia tu kusherehesha ila kiukweli VAR imekuwa mwiba mchungu na msaada kwa baadhi ya timu...na nyinyi muna upepo nayo hilo halina ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu mbona mimi Liverpool ni chama langu la utotoniNd0 mlivy wa2 wa arsenal [emoji107][emoji107][emoji107]
Za halali?Liverpool imeshanyimwa four goals
Sijui mnataka nini zaidi
Sisi tutapiga walalamishi wote Hadi mchakae
Kwa sauti ya kamanda wa Dodoma
kuza profile picture yake kwanz uchek ciunajua waxhika mitutu 😁😁Turudi kwenye point ya msingi kuwa mechi za liver VAR haitumiki sasa magoli ya mane yalikataliwa vipi na VAR wakati haitumiki?
Kwa fimbo ya VARLiverpool imeshanyimwa four goals
Sijui mnataka nini zaidi
Sisi tutapiga walalamishi wote Hadi mchakae
Kwa sauti ya kamanda wa Dodoma
Lia-lia fcKatika mechi za Liver VAR haitumiki nadhani tusubiri kamati ya masaa 72 ije na majibu.View attachment 1320414
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaelewana tu
Ulivyoweka still picture peke yake unaweza mislead watu ambao hawakuangalia mechi.