GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 772
You made my day, chief!17 points mbele kwa tishio letu kuu. Hata mimi nikiwa Manager wa hii klabu takatifu nawahakikishieni ubingwa mtukufu ambao hauna tone la shaka.
Kuna mtu kanitonya ushindi wa leo umeleta furaha mbinguni. Malaika walishindwa kujizuia
Heri ya mwaka mpya kiongozi.
Msimu huu ni msimu mbaya sana kwangu, hata kule kwenye kikapu ni shida tupu.
boys they know how to manage a football game!.......Tuendelee kukumbushana
January
Wednesday 1
Liverpool 2 - 0 Sheffield United
Saturday 11
Tottenham Hotspur 0 - 1 Liverpool
Sunday 19
Liverpool β Manchester United
Tuesday 21
Wolverhampton Wanderers - Liverpool
Wednesday 29
West Ham - Liverpool
Thank you Liverpool
Mmetetea jezi ugenini
Vijana leo walikuwa makini sana na tumshukuru Mungu imeisha salama
Points 16 clear kwa LC na game mkononi
Points 17 clear kwa Man City
Kuanza sasa kushangilia title yetu ya kwanza ya EPL baada ya miaka 30 SIO DHAMBI
boys they know how to manage a football game!.......
siku za nyuma hatukua na uwezo wa kushinda goli kipind cha kwanza kisha lisirudi
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππ1st goal. FirminhoView attachment 1320161View attachment 1320163
Wapiga ramli wapo kote...Last season before VAR mambo yalikuwa hivi ββ
Hahahahaha typical Spurs old boy...Tim Sherwood In December: "City will give Liverpool a footballing lesson"
FT: Lfc 3 - 1 City
Tim Sherwood yesterday: "Jose will have a tactical masterclass. He's the special one"
FT: Spurs 0 - 1 Lfc
The sooner you appreciate greatness, the better.
Unajua saivi wanasemaje? "The quality of the league has dropped to the likes of Farmers league/Sunday league"Last season before VAR mambo yalikuwa hivi ββ