Ahaa. OKAnazungumzia midfielder tu hapo.sio beki .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sure
Nakubali, msaidizi sahihi kabisa. Klop ampe angalau dakika 10 tukiwa tunaongoza 3 - 0hawa watoto wamenikosha sana leo...... hapa tuna timu nzuri sn ya vijana, june tunaweza kumsajili mtu 2 tu za maana......
TAA amepata msaidiz in the name of neco.... 18yrs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sipendi atoke jamaa wanaletaga ladha sana kwenye EPL kuna baadh ya timu ni muhim kwenye EPLJamani tuwe makini yaani kimasihara hivi hivi asenali tunaweza tusiwe nao msimu ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wao watakuwa wamekaa wanawaangalia hata man city walikuwa wa moto sana bek zao saiv hizo story hamna dawa inatafutwa ni mess na ronaldo tu dawa yao imekuwa ngumu kupatikanaBaada ya Misimu 2 ijayo Haki ya Nani Kulia Elliot, Kushoto Jones Mbona Timu zitaona Kiyama.
National team inabidi Harry amtume Joe ona maajabu masikini anamtuma tajiri inabidi Joe awe mtu wa mwisho kuwapanga kina Harry na chilwell watekeleze majukumuJoe Gomez:
• Salary per week: £60K
• Price bought: £3.5m
Harry Maguire:
• Salary per week: £190K
• Price bought: £80m
Money doesn’t buy you quality, it buys you a fridge [emoji23] [emoji23][emoji23]
Hata vvd alipokuwa sutton alikuwa na ubora alionao sasa? Alikuwa bek wa kawaida tu kaja liverpool kaji up grade We jamaa bana ubora wa mchezaj unafuatana na timu aliyopo hata mess umshushe bunley atakuwa kituko tu angalia na watu alionao maguire huyo gomes nakwambia mtupie city kama hajawa kitukoJoe Gomez:
• Salary per week: £60K
• Price bought: £3.5m
Harry Maguire:
• Salary per week: £190K
• Price bought: £80m
Money doesn’t buy you quality, it buys you a fridge [emoji23] [emoji23][emoji23]
Dah noma sana ..mko vizuri kwakweli..
Hahahaha may the real Bill Shankly please stand up...Bill Shankly: “In my time at Anfield we always said we had the best two teams on Merseyside, Liverpool and Liverpool reserves.” 🔴