Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa madogo wasipokuwa makini tutatandikwa na hawa majamaa... Adrian kaokoa mara tatu sasa angalia magoli ya wazi kabisa
Hapo anatakiwa amwingize Ox na Mane haraka sana tutapigwa pamoja na Ku-dominate game!
 
Kama Mkataba unaruhusu basi Grujic aitwe haraka hii January kabla hatujawa Laughing Stock.

√ Keita injury
√ Fabinho injury
√ Milner injury
√ OX gari la Mkaa

We've only Two Midfielders ambao ni Hendo na Gini kwasasa ndiyo wapo fiti.

Tunamuhitaji Grujic kuliko wakati wowote ule.
 
Fabinho is back in training
 
seriously, madhara ya game nyingi tulizocheza yanaanza kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…