That's the spirit palhuu ubingwa inabid tuuchukue with 8 games left to play,we have to continue with our winning ways while man city and leicester drop more points..
then we switch our focus to champions league, i hope it will be so
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs na city sasa hivi ni wepesi kama karatasai hapo hesabu points 6 tu tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Challenge tulizobaki Nazo;
1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away
Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
Jihabash the Iranian baddest...
game na city itakuwa ya 31 kama sikosei , kama moto utakuwa ni win tuu then we will play man city tayar ni mabingwa au ndio game tutakayo chukulia ubingwa....naimanii....Challenge tulizobaki Nazo;
1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away
Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
game na city itakuwa ya 31 kama sikosei , kama moto utakuwa ni win tuu then we will play man city tayar ni mabingwa au ndio game tutakayo chukulia ubingwa....naimanii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh! Its not easy as you think bro..
Usiikadirie Timu uzima wake au wepesi wake kwa sababu tu anafungwa na wengine.
Hapo nimeziweka hizo mechi amini si za kubeza.
City ni Champion bro, you cannot undermine the power of the Champion.
Ndiyo maana Utd na ubovu wao lakini bado wanatukaziaga.
Na ubingwa wao lakini tutawachakaza tu, tena mm niliwatamani tukutane hata January hii, tuwachakaze ipasavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Manjesta wapo inakuwaje kuwaje, hizi ni dhurumaKusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,
Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ubingwa wao lakini tutawachakaza tu, tena mm niliwatamani tukutane hata January hii, tuwachakaze ipasavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
labda liverpool nyingine, lakini hii ninayoijua mimi lazima tuje peana pressure[emoji23][emoji23][emoji23]huu ubingwa inabid tuuchukue with 8 games left to play,we have to continue with our winning ways while man city and leicester drop more points..
then we switch our focus to champions league, i hope it will be so
Sent using Jamii Forums mobile app
tutakutana nao tukiwa tumetangaza ubingwa
mechi itakua ya kawaida sana
Aisee ama kweli huu ushindi unaleta tha good feeling and fearless inakua vocabulary haha...Ni kweli si za kubeza basi kwa performance zao kwa sasa hawana tofauti na akina Watford, city na Spurs sasa hivi wamebaki na ushindi wa kubahatisha tu lkn si kuwa na uhakika wa kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakumbuka tulipokwenda kwa Manure na matokeo yetu mfukoni kama hivyo then tukataka kuaibika mpaka tukaokolewa na Lallana?
Sasa na kwa City kwasababu tulimfunga game ya 1, next game njoo uende na matokeo yako mkononi uone!