Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ile clearance ya origi nilibaki nacheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haaa, hii ligi kwa vile iko upande wetu, wacha tuwakomeshe kabisa! Labda Klopp awachanganye kwenye vile vikombe vidogo vidogo! Yaani natamani Manure, Chealsick, Manshit tuwakomeshe kabisa!
Sasa mkuu kikosi Cha kwanza wakishindwe kikosi Cha pili wakishindwe mpaka wachezaji majeruhi wanafika 7 bado washindwe kutufunga ..kwanini tusiwakomeshe kabisa tuwape under. 20 wakishindwa na hao inabidi tuwakusanye wakina carragher na Gerrard wazee wakipige nao ili tuweke history iliyotukuka[emoji16][emoji16] (issa joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo timu linanipa raha mimi,, bwuuuuuuuuuu!! Nimemsikia Mourinho anajiuliza tarehe 11 nina mechi na Liverpool sijui naanzaje mimi?
mzee sio swala la kufurahi kwa sasa hali si nzuri, kama ukicheki game ya jana benchi liko tupu kabisaa...hizi injury zitatuletea shidaa...

nachukia sana mchezaji anacheza game hazizidi 4 hlf anaumia

chambeeline
keita
shakir
matip
lovren
fabinho
clyne

wote hao majeruhi

sub zilizobaki ni lallana na origi tuuu na jumapili tunagame na everton FA tukitoka hapo tuna spurs na man utd...kama injury zitaongezeka tunaweza anza ku drop points..

msimu ukiisha lallana, clyne, shakir, lovren inabidi watuachee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah au wanaotaka kuweka record ya kugombania tuzo wacheze dk 70 wapumzishwe...iwe kama pre season matches/atafute fitness ya UCL matches tu..[emoji3]ujue mkuu wengine toka tupende chama hatujawahi kuona tunachukua EPL ujue- tulichelewa kuzaliwa ..kwanini tusitambe sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are looking ahead to break 100 points record, 49 unbeaten record, and finish a league with 0 loss.
Itakuwa balaa ..na tuplus UCL Cup,( na jinsi tunavyojua kucheza final siku hizi hizo Super Cup na World Club Cup hazitatusumbua) pia ..inabidi Malkia ampe uraia JK ampe na u- Sir kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning guys!

Napenda kushare nanyi baadhi ya Stats kuhusu nani anashikilia record ya kupiga Pasi nyingi incomplete na zile ampazo ni Pasi complete.

Since Yesterday nimeona Post nyingi humu zikisema Liverpool ameweka rekodi ya Kupiga Pasi nyingi!

This is not true men! Ni Man City ndiye anayeshikilia Rekodi zote kuhusu Pasi.

Rekodi pekee iliyoweka Jana ni kuwa Liverpool amejiwekea yeye mwenyewe kwa kupiga Pasi nyingi kwa Mara ya kwanza tokea Timu hii ianzishwe.

Nimeweka Screenshots hapa ambazo Source yake ni Mtandao wa Barclay's Premiere League.

1) Hapa Man City amepiga idadi ya Pasi 1015 ambazo Complete zilikuwa 942.



2) Hapa Man City against Everton amepiga Passes 970 ambapo Complete Passes ni 905.



3) Hapa Man City vs Chelsea, Mancity amepiga Passes 976, Ambapo Complete Passes ni 902.


4) Hapa Liverpool vs SHU, Liverpool amepiga Passes 970, ambapo Passes Complete zilikuwa 874 tu.


Kwahiyo Rekodi ya kupiga Pasi nyingi bado inashikiliwa na Man City Mara 3 zaidi na wala zi Liverpool.

Timu ni Nzuri kwa sasa lakini tujitahidi kutumia takwimu sahihi na si kuchukua kila Kitu kutoka Twitter.

Nadhani huko Twitter munglifuatilia Stats za @OptaJoe kwani ndiye yupo sahihi zaidi kwa Stats ukilinganisha na Source nyengine zinazokopi na kupesti.
 
Lakini mkuu siyo sisi tu, hata wao wanashida ya majeruhi! Tot hawana huduma ya Kane pia. Lakini kwetu pia kumbuka tuna kifaa kingine kimeingia juzi -Minamino. Fabinho anarudi hivi karibuni. Wacha tushangilie tu, furahia ulichokishika mkononi kuliko kinachokuja!
 

Thanks Mkuu King Ngwaba.

Katika kipindi hiki ambacho timu iko kwenye kufanya maajabu ya kuweka records, ni muhimu kuwa na stats sahihi kama hivi.

Happy New Year Again.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…