It's a tough gameHahahahaha... Wapigwe tu hakuna namna..
Gemu ya Leo japo nyumbani itakua ngumu kimtindo...
Hawa Blades on the road wamefungwo mara moja tu...
Huyu babu Chris Wilder naona hataki kurudi chini wanakomaa balaaa...
Infront of the Kops watapigwa tu...
We start 2020 in style...
YNWA
Man, you remember how Manure welcomed to 2-02-0? Ha ha ha haaa, the same will apply to Wilder's boys! We have ignated the engine with supersonic speed!Hahahahaha... Wapigwe tu hakuna namna..
Gemu ya Leo japo nyumbani itakua ngumu kimtindo...
Hawa Blades on the road wamefungwo mara moja tu...
Huyu babu Chris Wilder naona hataki kurudi chini wanakomaa balaaa...
Infront of the Kops watapigwa tu...
We start 2020 in style...
YNWA
Hata kule Madrid kulikuwa na VAR, hata kule Doha kulikuwa na VAR! Wadau tuwe na adabu na mafanikio ya wenzetu, Manure Jana tumelowekwa viwili!
Leo wamepania !
,.............................
The Sheffield United players have been trained on Stanley Park outside Anfield ahead of today’s game!View attachment 1310416
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kule Madrid kulikuwa na VAR, hata kule Doha kulikuwa na VAR! Wadau tuwe na adabu na mafanikio ya wenzetu, Manure Jana tumelowekwa viwili!
Saa 5 usiku! Tuwafagie tena!Game saa ngapi?
Game saa ngapi?
Shukrani mkuu!Game ni saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Pamoja sana mkuu, tujumuike pamoja kuisindikiza timu yetu tunapoend kuua tena!Shukrani mkuu!