Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahahaha Simba tupo imara Leo lazima apigwe mtu..Mkuu mimi ni Mkongwe ila hapo waweza nikamata, asaiv utandawazi mpira hata kwenye simu unaweza kuangalia na kusoma chambuzi mbali mbali tofauti na wakati wa nyuma, mimi pia shabiki wa Simba ila siwezi kukutajia kikosi chote cha Simba kwasababu sifuatilii sana, ila hapa mzee baba nakutajia list yote ya kikosi cha Liverpool mpaka wachezaji wanaohisiwa kutua Anfield msimu ujao [emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe washabiki weng wa LFC tunashabikia Simba huku barana kwetu .Hahahaha Simba tupo imara Leo lazima apigwe mtu..
Yeboyebo jana kashinda basi kelele kama zote..
Ni wakati wa Wekundu sasa...
Asilimia kubwa inawafavor sana kuliko kuwakataa..mpaka tunahisi ni ukweli mnabebwa..I
Imewekwa kwa ajili ya liver kivipi? Game vs man u orig anachezewa foul man wanaenda kufunga mbona VAR haikusaidia? Aston villa, Watford mbana kote husemj?
Nmewasilisha malalamiko yangu kwenye iyo e-mail ..nmejibiwa kwamba lipo nje ya uwezo wao ..inaonekana Liverpool wametoa mpunga mrefu sana kuhusiana na ili suala ..Labda niwasilishe FA kabisa maana hii EPL ni kama imewekwa mfukoni na Klopp..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha ndugu yangu utulie hivyo hivyo aisee wenzio huku hayo ya VAR hayatusu..
Niwashauri wote wanaosema tunapendelewa na VAR anwani na ilipo ofisi ya England Premier League wawaandikie au wawatembelee kuwasilisha malalamiko yao.
Wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kupitia mitadao ya kijamii au kwenda kwenye ofisi japo kwenda ni Kwa appointment tu hivyo mtuache tumechoka na kelele za VAR nendeni bado mechi nyingi mkawasilishe malalamiko..
Registered Office
The Premier League
Brunel Building
57 North Wharf Road
London
W2 1HQ
Email ni info@premierleague.com
Twitter ni #premierleague
Ofisi za VAR zipo VAR hub Stockley Park West London
In the meantime its coming home 19th EPL
Nashauri mambo ya Simba na yanga yabaki kwenye majukwaa yakeDah kumbe washabiki weng wa LFC tunashabikia Simba huku barana kwetu .
Njoo na facts mkuu sio hisia......Asilimia kubwa inawafavor sana kuliko kuwakataa..mpaka tunahisi ni ukweli mnabebwa..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
ukweli ni kwamba walitaman sana tuwe juu kwa walau point 6 max, ili waanze msemo wao kwamba lazima city atupite.......Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
I do not rate him
Very tough fixture in deed..If we obtain all 15 points in January then we are champions...
We had Leicester and wolves pia, those were a true test...Very tough fixture in deed..If we obtain all 15 points in January then we are champions...
Kwa kelele za mbeleko ya juzi wenye mpira wao washasema mwezi February watatoa muongozo mpya kwa marefa kuhusiana na matumizi ya VAR.Hahahaha ndugu yangu utulie hivyo hivyo aisee wenzio huku hayo ya VAR hayatusu..
Niwashauri wote wanaosema tunapendelewa na VAR anwani na ilipo ofisi ya England Premier League wawaandikie au wawatembelee kuwasilisha malalamiko yao.
Wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kupitia mitadao ya kijamii au kwenda kwenye ofisi japo kwenda ni Kwa appointment tu hivyo mtuache tumechoka na kelele za VAR nendeni bado mechi nyingi mkawasilishe malalamiko..
Registered Office
The Premier League
Brunel Building
57 North Wharf Road
London
W2 1HQ
Email ni info@premierleague.com
Twitter ni #premierleague
Ofisi za VAR zipo VAR hub Stockley Park West London
In the meantime its coming home 19th EPL
Kwenye mid January majeruhi karibu wote watakuwa wamerudi.hapo sasa itabidi labda timu kutoka mars ndio ije itufunge.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Everton ya Don Carlo ambaye mechi mbili za uefa akiwa napoli hatujamfunga..We had Leicester and wolves pia, those were a true test...
Game ngumu hapo ni ya manure tu
Everton ya Don Carlo ambaye mechi mbili za uefa akiwa napoli hatujamfunga..