Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool leo atang'atwa Mbwa mwitu hajawahi kuacha timu kubwa salama

NB:ushindi pekee watakaoupata Liverpool leo ni kushinda na njaa.
Kama sikosei mbwa mwitu wako amecheza mechi kibao Anfield bila kuchomoza na ushindi hata mechi moja, sasa tafadhali kua na maneno ya akiba..

Tangu mwaka 1984 ametufunga si zaidi ya mara 3 hivi na ushindi wa mwisho aliupata 2010 kipindi tupo na Kocha Roy..

Chini ya Klopp hajachomoza na ushindi wowote...

Leo tunao hawa maana sasa waliotushindwa wengi wamehamishia karata zao kwake bila kusahau huyo Citizen alimfunga 2 na wakiwa pungufu baada ya Eder kupewa kadi...

Waletee Waletee...
 
Mine will look like this:

ORIGI. MANE. SHAQIR

GINI. HENDERSON. KEITA

ANDY. VVD. GOMEZ. TRENT

BECKER
Subs:
Adrian
Milner
Salah
Firmino
Lallana
Jones
Hahaha no way to bench Salah lol, Wolves play tantalizing football we need Salah upfront to nab their going forward and if they do atawaumiza...

Salah effects on this one will be on spot..

He has a score to settle and Vardy not scoring meaning more believe that he will catch him haha na Mane pia lol.. Whats criss-cross upfront in search of goals..
 
Hi Haya mambo ya kuhamisha wachezaji namba ndo kuna ua viwango tuwatoe kasolo wachezaji kumbe wanapangwa nje ya nafasi zao huyu Salah amefanya vizuribtu akiwa pembeni sasa kwa nini anawekwa kati?
Tunamuona Keita alivyo sasa anastawi vyema kabisa.

Minamino sijui atapangwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Wachina hawajafyatua uzi kama huo? Na unapatikana kwa bei gani?
 
Hilo hilo unalosema kuhusu Lovren ukiodoa jocker ndio la Hendo pia...

Hatuhitaji kulipa $90K na $140k Kwa week ili mradi kuwafurahisha hao wawili..

June 2020 ataodoka mmoja wao...
 
Kuna li bouncer mle Wolverhampton juzi lilikuwa linawafagia vijana wa Guardiola kama halina akili nzuri!
 
Hahaha La Macia outcast finally found a proper place to flourish..
 
kilio ni depth, chief....... depth, depth, depth.

embu angalia hili bench letu la leo vs Wolves ndiyo utajua nachosema...

halafu Salah ashawahi cheza kati very effectively kwenye 4231.... very effectively.
Klopp amekuwa aki tinker na formation from time to time ili ku win games - hadi kwenye injury time!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…