Numbisa wewe ni Liverpool mwenzangu au Manyumbu? Nina mashaka na wewe baby girl.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha natamani kazini nisiende
Kwa hiyo wachezaji wake wanamkubali kwa kuwa wanajua mashabiki hawampendiWachezaji wenzake wanamkubali Sana.
Tafuta link za Liverpool ukasome. Hawajaandika waswahili. Wameondoka wataalam.
Wachezaji wanajua kaptain wao hapendwi na mashabiki.
We're done, the race is over
13pts clearly
Clean sheet
TAA & Gomez [emoji1487]
On to the next game
Vijana wamecheza soka ambalo sikutegemea kabisa kutokana na ratiba yetu ilivyokuwa
Tusisahau tuna kiporo chetu kitakacho tupa ubingwa mapema
Una asili ya uchawi..kitu kinakusaidia alafu unakichukia.. mchawi hapendi maendeleoi hate this fuvken unbeaten club liverpool
But yesterday they give me 100k[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]View attachment 1304479
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tutaongoza vivi hivi mpaka mwezi wa pili, nitaanza kufurahia ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kiporo tunaweza kuwagawia Man Utd wajazilizie kwenye points zao.
HahahaHiki kiporo tunaweza kuwagawia Man Utd wajazilizie kwenye points zao.
, [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]i hate this fuvken unbeaten club liverpool
But yesterday they give me 100k[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]View attachment 1304479
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa kuna timu zina hali mbaya sana hata kuzicheka muda mwingine unazionea huruma
Gomez ni mzur akicheza kama center back ila kicheza namba 2 ni majangaa...Hapo kwa Matip wake Gomez...
Gomez is back to greatness aisee..
I will choose Matip over Gomez but seems Matip hajapata kibali cha kucheza unless Klopp hiding his card there..
Ni kwanini ipo hivyo, tunaomba ufafanuziSii
Sio msimu uliopita tu ni misimu yote ndio hivyo