Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sina hofu kabisa na mechi ya leo,Kwa sasa imani niliyonayo kwa Vijana wetu ni kubwa sana.
WE GO AGAINNNNNNNNNN.
Namuonea huluma sana Levi kapigwa hela kipumbavu sana hafu team ishapoteza ladha kimchezo.Hahaha Jose bana sijui lini Spurs watacheza mpira 'wake' maana hapa walikua nyumbani lakini duh wametoa jasho kushinda Leo...
Alivyopachika la pili akamwingiza Eric Dier..Leo hajapaki semi-trailer? Wala sikuwa na mzuka kabisa wa kuangalia game yake,, nasubiri ya mabingwa wa vilabu duniani saa 5 usiku!
Levi alikuwepo uwanjani Leo anaonekana hana raha kabisa..Namuonea huluma sana Levi kapigwa hela kipumbavu sana hafu team ishapoteza ladha kimchezo.
Nazani Ndombele hatakua na kazi tena pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kumbe sio saa mbili unusu duh hii sio fea kabisaa....Huu ujinga wa game yetu kuekwa saa 23:00 umeniudhi kweli.
Mkuu kibiblia Imani huwa tunasema ni "kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo" hivyo sisi tuna imani pale King Power leo patawaka moto!Kweli una Imani lakini Imani siyo inayocheza.
Mimi nina wasiwasi Mkubwa na Game ya leo Leicester kutukazia.
But ninatarajia ushindi.
Game ni saa 5 mkuu, ombeni kabisa ruhusa kwa shemeji zangu wasijekuwaletea kiwingu! Saa 2:30 ni Manure vs Magpies! Na Tanesco huku kwetu wameanza mtindo wa.kijinga kweli wa kukata umeme!Duh kumbe sio saa mbili unusu duh hii sio fea kabisaa....
Kwa style ya uchezaji wa Leicester kama front 3 yetu ikiwa makini leo tutawamaliza vibaya mno.Kweli una Imani lakini Imani siyo inayocheza.
Mimi nina wasiwasi Mkubwa na Game ya leo Leicester kutukazia.
But ninatarajia ushindi.
Sasa ndugu King Ngwaba ndio mbio halisi zinaanza Leo..Hii unbeaten Timu zote 19 zilizobakia hawaipendelei kuendelea kuwepo.
So, tutarajie upinzani Mkali kutokea sasa kwa kila tunaekutana naye.
Hii False hope waliyonayo Leicester City kuhusu kubeba Kombe ndiyo itakayowafanya leo watake kushinda ingawa kiuhalisia uwezo hawana.
Itakua mshikemshike lakini vijana watapambana, pointi 3 muhimu Sana hizi tunazihitaji..
Hahahaha Shemeji yako siku Liverpool wanacheza hua anaambiwa mapema sana sema duh hii ya leo nilijua gemu mapema aisee.... Hapa inabidi kahawa iwe jirani kuniweka macho mpaka mida hio..Game ni saa 5 mkuu, ombeni kabisa ruhusa kwa shemeji zangu wasijekuwaletea kiwingu! Na Tanesco huku kwetu wameanza mtindo wa.kijinga kweli wa kukata umeme!
Hii unbeaten Timu zote 19 zilizobakia hawaipendelei kuendelea kuwepo.
So, tutarajie upinzani Mkali kutokea sasa kwa kila tunaekutana naye.
Hii False hope waliyonayo Leicester City kuhusu kubeba Kombe ndiyo itakayowafanya leo watake kushinda ingawa kiuhalisia uwezo hawana.
Game ni saa 5 mkuu, ombeni kabisa ruhusa kwa shemeji zangu wasijekuwaletea kiwingu! Saa 2:30 ni Manure vs Magpies! Na Tanesco huku kwetu wameanza mtindo wa.kijinga kweli wa kukata umeme!
Firmino amerudi rasmi kale ka upepo ka kutofunga alikatema Doha natarajia kamebaki huko huko...Kwa style ya uchezaji wa Leicester kama front 3 yetu ikiwa makini leo tutawamaliza vibaya mno.
Duu Arsenal wametanguliwa kimoja pia...Darajani watu washachomoa nondo huko
Wote hao wapigwe tu hakuna namna!Duu Arsenal wametanguliwa kimoja pia...