Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hapo kwa Matip wake Gomez...My Line-Up today:
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - HENDO - KEITA
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISON
YNWA
Hahaha ndio kukua huko kazi na dawa🤣🤣🤣
On your side chap! The two nonsensee walk togetherHivyo Vikombe 4 atabeba peke yake? Au umemaanisha nini? Still the same nonsense
Masterclass!!! Any predictions on today's match?!
My Line-Up today: Umemuanzisha Hendo!!? Kulikoni? Is this your starting lineup or Klop's? Mpange James Milnee
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - HENDO - KEITA
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISON
YNWA
Huyu hata akishinda hana madhara kwetu, yaani tunampiga gap la points 20Second Half ended
Brighton 1 Tottenham 2
Webster 27
57 Kane
Ali 71
Sio msimu uliopita tu ni misimu yote ndio hivyohii nitokea msimu uliopita nakumbuka vizur sana, sijui ndio utaratibu wao sifahamu, wajuz tunaomba ufafanuzi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua mshikemshike lakini vijana watapambana, pointi 3 muhimu Sana hizi tunazihitaji..
Hahaha Jose bana sijui lini Spurs watacheza mpira 'wake' maana hapa walikua nyumbani lakini duh wametoa jasho kushinda Leo...Huyu hata akishinda hana madhara kwetu, yaani tunampiga gap la points 20
Hapo kwa Matip wake Gomez...
Gomez is back to greatness aisee..
I will choose Matip over Gomez but seems Matip hajapata kibali cha kucheza unless Klopp hiding his card there..
Leo hajapaki semi-trailer? Wala sikuwa na mzuka kabisa wa kuangalia game yake,, nasubiri ya mabingwa wa vilabu duniani saa 5 usiku!Hahaha Jose bana sijui lini Spurs watacheza mpira 'wake' maana hapa walikua nyumbani lakini duh wametoa jasho kushinda Leo...
Ha ha haaa skiper msimu mzimaa huna goli kiungo mshambuliaji kazi wafanye wengine hongela apewe yeye hafu bado unasema hana bahati mpogolo ya kweli hii kwamaba hana bahati?Sasa anashambuliwa nanyi mashabiki kwa kosa gani?
Unadhani Jorgen anawapuuza mashabiki pasipo sbb za msingi?
Hendo anapigiwa *poooow"?
Mi mswahili ninakamilisha kwa kusema,"Hendo Hana nyota ya kupendwa" lakini ni Capt atakaebeba vikombe vinne ambavyo haijawahi kutokea kwa nahodha yeyote wa Liverpool.
He will prove all of you wrong! Na jina lake litaandikwa"This is Anfield- Congrats Our Skipper Hendo"
Kila binadamu anayemdharau binadamu mwenziye kwa Mambo untouchable Hana maarifa. Ujue Kila binadamu anazo akili. Mwaka wa 3 Hendo ni Capt. Na 85+% ameanza kucheza unless awe na injuries. Sasa mjinga mie au Jorgen Klop na benc lake?
Because football is a lunatic favourate game and watched by 90% hooligans it might be mostly we are laying on that side.
Duh ni wembe
Haha tunae Januari hii..Huyu hata akishinda hana madhara kwetu, yaani tunampiga gap la points 20