Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Wow duh that really danger kaka aisee.. Kwanza una moyo wa chuma maana utamu Wa yale magoli na hukushangilia inahitaji super calmness ya juu mno....The Barcelona humiliation was the epitome of my Liverpool FC fanship.
I will never forget that night, bearing in mind that I watched the game with the leader of the the rebels, (in DRC) who is a die hard fan of Barcelona!!!
Mwenyeji wangu told me to keep CALM because any form of celebration will irritate the big man, and I will be in danger.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya game nilikesha naangalia YouTube, baada ya "boss" kurudi mlimani kwenye camp yao.Wow duh that really danger kaka aisee.. Kwanza una moyo wa chuma maana utamu Wa yale magoli na hukushangilia inahitaji super calmness ya juu mno....
Grand ulimsikiliza mwenyeji wako and no danger befall you in that rich and rugged country...
Eliminating Barca was damn sweet and that game sent YouTube servers to overwork maana even after the game fans continued and have continued to watch the comeback of the decade, Barca were even favourites for both legs and to win the trophy but Klopp had other plans and its worked wonders..
Salute to the boys, the fans and Klopp effects for surprising the Catalans...
Pole to Coutinho who was bamboozled joining Barca for glory only for the majogoo to do what's majogoo do..
YNWA
YNWA
UCL nights at Anfield are terrible for the visiting team... Ask Pep and his star loaded Citizens and he will tell you..Kama ningekufa siku ile, I believe ningeenda direct peponi coz ile furaha and CALMNESS was heavenly!
That night Anfield was super electric, the atmosphere was extremely terrifying to them Barca.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wenzake wanamkubali Sana.
Tafuta link za Liverpool ukasome. Hawajaandika waswahili. Wameondoka wataalam.
Wachezaji wanajua kaptain wao hapendwi na mashabiki.
Mnitagi akijibuNaomba nikuulize swali mkuu, hivi ni captain gani umewahi kusikia anatetewa na wachezaji wenzake kila mara?
Hahahaha ile gemu mpaka Leo hua nikiboreka naangalia na ile ya Shaqir kuwazima Manchester United nyumbani..Baada ya game nilikesha naangalia YouTube, baada ya "boss" kurudi mlimani kwenye camp yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu tumetoka mbali aisee...
Merry Christmas Zumbemkuu pamoja sana ndugu popote ulipo uwe na wakati mwema sanaa..
Wachezaji wenzake wanamkubali Sana.
Tafuta link za Liverpool ukasome. Hawajaandika waswahili. Wameondoka wataalam.
Wachezaji wanajua kaptain wao hapendwi na mashabiki.
Kwenye semifinal ya Qatar alikuwa kitasa mkoba na akafanya vizuri.
Sisi tunamuona luningani tu hatupo dressing room.
Ukikubalika dressing room wewe ni potential. Vvd,Andy,Mane,Bobby,Klop wanamheshimu Sana Hendo.
Ameinua makwapa Mara 3 bado epl.
Naomba nikuulize swali mkuu, hivi ni captain gani umewahi kusikia anatetewa na wachezaji wenzake kila mara?
HUYU NDIYE CAPTAIN WA KWANZA KATIKA HISTORIA YA SOCCER ANAYEONGOZA TIMU KUPITIA HURUMA ZA WACHEZAJI WENZAKE
Tuliwashuhidia wachezaji wakitulia kwenye Timu zao kupitia Huruma za Macptain wao hasa pale wanapofikwa na Matatizo ya kimpira.
Lakini cha ajabu leohii Captain wetu ndiyo kageuka yeye anaishi kwa huruma za wachezaji anaowaongoza.
CAPTAI YUPO KUWATETEA WACHEZAJI WAKE, SIYO HUYU ANAYETEYEWA YEYE NA WACHEZAJI WAKE
Badala ya kuwa yeye ndiye akae kwenye Vyombo vya Habari awatetee kina VVD, SALAH na MANE pale walipoingia kwenye Mgogoro wa kufanyiana Ubinafsi.
Cha ajabu eti yeye ndiye anatetewa Ucaptain wake kwenye Vyombo vya Habari kupitia kina VVD, SALAH na MANE.
HUYU NI CAPTAI DHAIFU
Na kikubwa zaidi kwenye Social Network ni MILNER na GINI ndiyo walikuwa wakimtetea SALAH na MANE kwenye issue ya UBINAFSI.
Lakini huyu Captain Dhaifu aliufyata kimya akivizia yeye Atetewe na wachezaji hao kupitia mahojiano na Waandishi wa Liverpool.
Kama wewe kweli unaishi kwa uhalisia na Free from Hypocrisy Je uliwahi kujiuliza kwanini Waandishi wa Habari wa Liverpool wanawahoji wachezaji kuhusu wanavyomuona Hendo?
Kwanini wanauliza hilo swali?
Naomba unijibu kwanini wachezaji waulizwe kuhusu wanavyomuona Hendo?
Ivi huoni kuwa kuna udhaifu kwa Mtu huyo mpaka kufikia Wachezaji kuulizwa wanamuonaje Kapteni wao?
Mbona sijawahi kuona kina Carragher na Aggar wakiulizwa walikuwa wanamuonaje Gerrard?
Wala kina Drogba na Lampard hawakuwahi kuulizwa walikuwa wanamuonaje Terry?
Iwe ni kwa Hendo tu?
Hapo ni wazi kuwa Waandishi waliuliza huku wakiwa na uhakika wa Kupata Majibu positive ili watumie kama kigezo cha kuhuisha ubora wake kwa Mashabiki.
SWALI LA MSINGI:
KWANINI WAANDISHI WAHOJI UBORA WA HENDO KWA WACHEJAZI WENZAKE? KUNA NINI HATA WAHOJI?
Thank you for this useful post.
Kama mtu akisoma hapa na asielewe maana, itabidi tumwite tajiri Watery aje aelekeze kwa formula za physics.
Thank you Herr Klopp.
Ukiona watu wanahoji kuhusu Vyeti Vako au Elimu yako ujue kuna kasoro wameziona kwako.
Same ukiona Waandishi wanahoji Wachezaji kuhusu Muonekano wa Captain wao ujue kuna Kasoro kwa Captain huyo.