Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Predicted team to play Aston Villa: (4-3-3): Kelleher; Williams, Hoever, Van den Berg, Larouci; Chirivella, Dixon-Bonner, Kane; Elliott, Brewster, Jones
Subs: Lonergan, Clarkson, Koumetio, Coyle, Longstaff, Stewart, Christie-Davies
Wanasema anaweza kucheza ni 50/50 kucheza.Brewster nasikia aliumia anaweza kuwa bench
Lonergan mtoe hapo yuko Qatar
Predicted team to play Aston Villa: (4-3-3): Kelleher; Williams, Hoever, Van den Berg, Larouci; Chirivella, Dixon-Bonner, Kane; Elliott, Brewster, Jones
Subs: Lonergan, Clarkson, Koumetio, Coyle, Longstaff, Stewart, Christie-Davies
Amin. Insha AllahHahaha hapana sio kejeli, ukweli ni kwamba nilitarajia Epl mtakua nafasi ya 10+ Kwa vile ham kusajili pia mna meneja 'mgeni' wa EPL, mliuza star player Eden na majereha Kwa key players yamewagharimu hivyo mme jitahidi sana mpaka kufika 16 bora UCL..
Muwe na subira na vile sasa mnaweza kusajili na Kante, Rudiger wanarejea kwenye form ni dalili mtakaa sawa...
tuko pamoja!Wakuu leo nitakuwa eneo korofi kidogo nategemea kustream online kwahiyo musisahau kunishare channel itakayoonesha hii game ya Carabao kwenye BurmaTV au Mobdro.
Hivi yule dogo wetu mserbia Grujic kaishia wapi? Nadhani angetufaa siku kama ya leo.
Huyo Longstaff ni ndugu na wale wa Necastlle?Predicted team to play Aston Villa: (4-3-3): Kelleher; Williams, Hoever, Van den Berg, Larouci; Chirivella, Dixon-Bonner, Kane; Elliott, Brewster, Jones
Subs: Lonergan, Clarkson, Koumetio, Coyle, Longstaff, Stewart, Christie-Davies
Yupo Kwa mkopo msimu mzima Ujeremani klabu ya Hertha...Hivi yule dogo wetu mserbia Grujic kaishia wapi? Nadhani angetufaa siku kama ya leo.
Hapana sio ndugu japo nae tulimtoa Newcastle mwaka 2015..
Let's hope so...itakuwa poa sana.Vijana wetu under 23 leo wanacheza na Villa robo final ya Carabao
Tuzidi kuwaombea,vijana hawa wanaweza fanya maajabu
Amen!
Yule Ki-Jana vipi yupo wapi sikuhizi?Predicted team to play Aston Villa: (4-3-3): Kelleher; Williams, Hoever, Van den Berg, Larouci; Chirivella, Dixon-Bonner, Kane; Elliott, Brewster, Jones
Subs: Lonergan, Clarkson, Koumetio, Coyle, Longstaff, Stewart, Christie-Davies
Kabisa...angetufaa sana huyo dogo.Hivi yule dogo wetu mserbia Grujic kaishia wapi? Nadhani angetufaa siku kama ya leo.