Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Ngoja nikawachungulie Manure sijui wana page ngapi?
VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Manure yameenda naona yana page 6152 na comments 123k. Ila yaendelee kupigwa tu na kesho yagongwe!Ngoja nikawachungulie Manure sijui wana page ngapi?
Kweli ila atakomaa tu si unamuona TAA sahv..VVD kasaidia Sana maneki wetu kuwa kuwa noma...ila ndo hivyo majeruhi yanawaandama sana
Kuna mashabiki wajinga sana wanataka VAR iwapendelee wao tu ikiamua vingine wanatukana sana! Huwa kuna shabiki mwingine wa manure niko naye ofisi moja! Huwa anatukana sana magoli ya Liverpool yakikubaliwa ila ikiwapa goli wenyewe anaisifu mno!VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pukki si mtu mzuri...Norwich again, hahaaaa
VAR ni msumeno mkuu..VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo anarudiWakuu kwa walioona picha ya Fabinho Leo Anfield na ile boot ya mguuni yule kweli wa kurudi January?
msimu huu tutatangaza ubingwa mapema sana
Leister hana upinzani kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Assist..sema nilitakiwa niweke kiatu kile cha kuchezea mpira.Hapo kwa sadio mane hayo mabuti ndio nini
Sasa assist mbili kivipi wakati moja ni ya origi?Assist..sema nilitakiwa niweke kiatu kile cha kuchezea mpira.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk