Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jones and Grujic ndio future yetu pale kati..
 
HT. 1-0 gaol la Salah, assist ya Mane. Tumefanya makosa mawili karibia yatugharimu. Uzembe wao tu wangekuwa mbele kwa 2-1.

Sijaona mchango wowote kwa big shaq. Game nayo ilikuwa imepoa haona zile amsha amsha. Yote kwa yote tunaongoza kwa bao 1.



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Average team with average players totally overrated.

Sent using Jamii Forums mobile app
Average team with average players that scored you and man city 3 goals
And barcelona plus bayern seven goals

An average team that have reached europe final back to back

Bottled epl title... [emoji108]


Have some respect for this average team mani

They are wonderful

And they mean love [emoji3590]

We have no hate for you

You are welcome on this average team with average players and average fans

# 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nakaribia kusema ni lazima ingawa sio lazima akiondoka Klopp kwanza tutapitia wakati mgumu hata aje kocha gani!
Lakini kama nilivyotabguliza mwanzo si lazima iwe hivyo! Anaweza kuondoka Klopp na still tukawa vizuri.
Kama hii idea ya Klopp ya signing young players with potential ku supplements aging players then tutakua pazuri mno tuedako hata Klopp aking'atuka...

Hii phase lazima iwe Well planned...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…