Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Kumaliza league without being defeated ,ni udhalilishaji wa kijinsia na league nzima ya england
Nadhan hili wanaliona wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa uchungu Sana mkuu,endelea kupiga piga ramli siku moja itajibu Ila sio mwaka huu...When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaendelea kuaminiwa.Milner signs contract extension.
Jibu limesheheni maelezo yaliyojitosheleza haswaaHata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.
Huyo hendo kupangwa na klop na southget haimanishi kuwa ni bora kuliko wengine maana kuna makocha wengi tu wanao mdisi hendo.
Hata hivyo sioni hoja yoyote hapa ya msingi maana angekuwa mzuri hata hao wazungu wenzeke wasingekuwa wanamuongelea kuwa anazingua bali wangekuwa wanasema kama wanavyosema kwa wachezaji wengine kuwa daa leo salaa kazingua au da leo VVD kazingua
Ni wiki ya furaha kwetu,Klop amekubali kuongeza mkataba na ametuongezea furaha kwa kops baada ya tetesi za usajili wa Takumi
Sisi tushabiki twa Liverpool tuna midomo mpaka Manure wanachukia! Watford tumpige za kistaarabu tu hauna haja ya kumvurumishia magoli!Ni wiki ya furaha kwetu,
>kwanza tumefuzu 16 bora,
>Takumi mbioni kutua January Kwa bei chee mno yaani hii dili sio ya kuiacha
>ubora Wa Gomez umeanza kurudi...
>Prince Keita kacheza dakika 90 huku Klopp akionyesha utayari Wa kubadili mfumo kusudi sasa Keita atawala dimba kisawasawa...
>drunkard master Norbert Klopp kakumbali kuongeza mkataba mpaka 2024, hii kubwa kuliko zote aisee..
Sasa kesho tumchape Watford tumalize wiki na kicheko huku Leicester na Manchester City waki draw..
YNWA
Angalau siku hizi umeshakubali matokeo!
Si Kazi rahisi kutabiri mabaya kwa miezi Mitano (August - December) halafu yasitokee.
Man have watched this season Real Betis play and can say that boy we once we went after called Fekir that boy was meant to be playing for us... His link of play, his hawk eye for killer pass, his intensity, his outer 18 shot is next to none, he is all round what we currently lack in the final third, just what's we need to unlock those stubborn defences.it's good that the "mightier than the mightiest" Jurgen has put pen to paper for another couple of years more. splendid stuff and am personally over the moon since this great news filtered in.
but if we want to concur all before us in the long haul, we need to freshen up our squad - especially in middle of the park (in attacking sense) by recruiting a lad with more technical but energetic attributes in equal measure. and an ever present (no vichomi, homa, kidole, kiuno stuff, etc) in every single match day.
for that I'll never stop crying for an Eriksen.
Keita would have probably fitted that bill but his fitness (or rather lack of one) is one glaring downside. Klopp doesn't trust Ox that much, and it's easy to understand why.
this not about belittling what Hendo & co have been bringing to the table - far from it - they have perennially proved they're Klopp's go-to servants. fact.
when the R Madrids of this world are back to their usual monster-like selves (which's most likely to start happening next season), we'll definitely need some serious game changers in our dressing room whose creativity would complement that from our fearsome three-some uptop... this is where am coming from.
our front trident need some serious competition too. Salah's & Firmino's form (the former in particular) has been inconsistent of late. the Salah of old would have easily gone home with a match ball recently vs RB Salzburg.
knowing the way Klopp operates, he'll definitely be having something up his sleeve am sure..... eer, the reported move for Minamino could just be that message being sent to the front trio. and, of course, the beginning of fixing the increasing profligacy uptop.
Mkuu hao Wa Manure wewe hujawai kutana nao banda umiza ndugu wanachonga mno mpaka unajiuliza kwani msimamo EPL Uingereza na Tanzania ni tofauti haha maana ni balaa tupu..Sisi tushabiki twa Liverpool tuna midomo mpaka Manure wanachukia! Watford tumpige za kistaarabu tu hauna haja ya kumvurumishia magoli!
Yaani Pain Killer mpiga ramli mwenzio Ollachuga Oc kashajipiga ban mwenyewe, umebakia wewe tu ila najua tutaelewana tu ndugu..When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumatatu ndugu..Jamani hivi draw ya uefa ni lini?? Nilijua leo
Next Monday...Jamani hivi draw ya uefa ni lini?? Nilijua leo