Monda kubwa
Senior Member
- Jun 20, 2019
- 121
- 158
Kushangilia ama kutokushangilia ni uamuzi wako. Na wala hoja yangu haipo katika kushangilia ama kutokushangilia.Hujanijibu, je niache kushangilia?
Naona unaendana na Style yangu ukimkamata Mtu kwenye hoja humuachi mpaka akimbie ha ha ha ha ha
Jamaa naona anaruka ruka tu.
When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau siku hizi umeshakubali matokeo!
Si Kazi rahisi kutabiri mabaya kwa miezi Mitano (August - December) halafu yasitokee.
When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Liverpool .hamna wa kukushinda ubingwa ni wako tuu mwaka keshoIts all about Nobert
It's all about Enjoyable football
It's all about winning
It's all about cups
It's all Minamino
Its all about LIVERPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL
Liverpooooool family football club.
It's about 7th and 19th...
Its our yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaard
BRING THEM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Furaha yetu ya Klopp kuongeza Mkataba Mpya kuna Mtu sasahivi ataichafua hapa.
When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.Hizo porojo tumewaachia nyie
Klopp anampa ndiyo sisi wengine tuna angalia!
Wewe unajua soka kuliko Klopp anayempa Hendo kila game kubwa?
Wewe unajua kuliko Southgate anayempa team ya Taifa kila game kubwa?
Makocha wote hawa wanampendelea ila ww upo kwako Bulyankulu-Tabora ndiyo unajua zaidi?
UPUUZI mtupu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.
Huyo hendo kupangwa na klop na southget haimanishi kuwa ni bora kuliko wengine maana kuna makocha wengi tu wanao mdisi hendo.
Hata hivyo sioni hoja yoyote hapa ya msingi maana angekuwa mzuri hata hao wazungu wenzeke wasingekuwa wanamuongelea kuwa anazingua bali wangekuwa wanasema kama wanavyosema kwa wachezaji wengine kuwa daa leo salaa kazingua au da leo VVD kazingua
Kumaliza league without being defeated ,ni udhalilishaji wa kijinsia na league nzima ya englandTutadrop points tu mkuu usijali but hii inaweza kuja kutokea baada ya misimu au miaka kadhaa hapo mbeleni, ni suala la muda tu endelea kuomba mabaya[emoji38][emoji6][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app