Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Kwani ni force 9 au false 9?Huyu jamaa ni assert kubwa sana kwetu ni kiungo anayeweza kucheza force 9 vizur km firminho vile vile anacheza rw na lw vizur sana kwahio ni backup nzur sana kwa mane na salah kwa bei hii ni kuokota dodo kwenye muarubaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni force 9 au false 9?
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Wacha mitetea Manure, Chealsick, Manshit tuipande kadri tunavyotaka!!Hivi Liverpool msimu huu wana mpango wa kuchukua mpaka mapinduzi cup au lengo Lao ni nini? Mwenye kujua lengo la hawa majogoo walioamua sasa kumpanda kila kuku anayekatisha mbele yao nini anisaidie wapendwa maana mm kila nikiona hii spirit nabaki nachoka tu kweli[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao ndio watamaliza mwaka vibaya na watamlaumu sana aliyewapanga mwisho wa mwaka!Hapo Dec 27 na 30 kuna hati hati ya kumaliza mwaka vibaya, ngoja nisave hii comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao ndio watamaliza mwaka vibaya na watamlaumu sana aliyewapanga mwisho wa mwaka!
Tutawapiga mpaka wachakae!
Mbona January itapendeza! Takumi ndani ya Nyumba?
JURGENNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN
Sent using Jamii Forums mobile app