Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Na kwenye game ya watford akipiga pasi nyingine ndefu ikazaa goli watasema apewe mkataba wa maisha
Hapa ndiyo tulipofikia!
Tunatafuta weakness za mchezaji aliyecheza mechi 2, Kafunga magoli 2 katoa assist 1, MOTM games zote 2 na katoka na Clean sheet 2.
Yani tupo tayari kusifia mchezaji aliyecheza mechi 25 na kutoa assists 2 na kufunga goli 1 because tu eti kapiga pasi moja ndefu.
Yani naendelea kusema! Hendo ni shit player
Hapana aisee,, wachezaji wote Liverpool FC waheshimiwe!Yani naendelea kusema! Hendo ni shit player
Duuuh kuna watu mna roho mbaya ! Umesahau cross ya Hendo iliyomaliza Man City !?
Team hendo no typical characteristics za wale waliokua OBSESSED na mediocrityDah! Na misifa atakayomwagiwa usipime!
Sasahivi ana assists 2 tu kwa game 15 za EP alizocheza basi tumekosa amani.
Wakati Keita katokea injury kacheza game 1 tu kapata Goli 1 na assist 1 lakini kimya.
Sijui Hendo Siku atakayofunga na Kuassist katika game 1 itakuaje.
Dunia hua haishi kushangaza...Firmino & Henderson → 8
Keita → 7
Waingereza bhana!
Mi ningependelea ile iliyoanza jana. Labda Gomez kwa LovrenSasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0
Line-Up ningependa iwe:
MANE - ORIGI - AOC
KEITA - GINI - HENDO
ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA
ALISSON
Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri
Hapo lazima Watford alale 5
Kijana hapa pamepita wengi lakini leo hawapo! Hujishangai kuachiwa peke yako kupiga ramli? Hujiulizi kwa nini?
Dah! Na misifa atakayomwagiwa usipime!
Sasahivi ana assists 2 tu kwa game 15 za EP alizocheza basi tumekosa amani.
Wakati Keita katokea injury kacheza game 1 tu kapata Goli 1 na assist 1 lakini kimya.
Sijui Hendo Siku atakayofunga na Kuassist katika game 1 itakuaje.
Wanasema hata saa mbovu kuna muda inapatia majira sajihi.
Ikitokea hivyo haina maana kwamba ndiyo imepona. Kwangu Hendo ataendelea kuwa Hendo. Keita ameshakuja kuchukua namba na hakuna wa kumzuia.
Na sisi na Klopp tunasema hakuna mchezaji aliyebora kuliko mwingine, tutaendelea kuwabadilisha hivyo hivyo. Hakuna aliyekuja kuchukua namba ya mwenzake! Utaratibu huu nauunga mkono asilimia zote!Wanasema hata saa mbovu kuna muda inapatia majira sajihi.
Ikitokea hivyo haina maana kwamba ndiyo imepona. Kwangu Hendo ataendelea kuwa Hendo. Keita ameshakuja kuchukua namba na hakuna wa kumzuia.