Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Linapokuja suala hendo daaaaaah, huwa unajitolea sana aiseeeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Mm kweli ndiyo wa kumkosoa huyu Klopp?
Kweli mm nikae hapa nianze kuhoji maamuzi ya Klopp?
Ndugu yangu kuna watu wanachekesha sana
 
mimi ni miongoni mwa anti hendo.
Ila kwa mechi tatu mfululizo jamaa ameongeza kitu hasa forward passes.
Tatizo consistency tu.

Ukiacha Mane na VVD hamna yyt anayemzidi Hendo kwa consistency
Watu wana m pick tu Hendo bila sababu yyt lkn nafurahi Klopp anawapuuza
 

Hapa ndiyo tulipofikia!

Tunatafuta weakness za mchezaji aliyecheza mechi 2, Kafunga magoli 2 katoa assist 1, MOTM games zote 2 na katoka na Clean sheet 2.
Yani tupo tayari kusifia mchezaji aliyecheza mechi 25 na kutoa assists 2 na kufunga goli 1 because tu eti kapiga pasi moja ndefu.
 

Kweli kabisa mkuu,,keita sio wa kuongelew vibaya sasa
 
Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0

Line-Up ningependa iwe:

MANE - ORIGI - AOC

KEITA - GINI - HENDO

ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON

Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri

Hapo lazima Watford alale 5
 
Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0

Line-Up ningependa iwe:

MANE - ORIGI - AOC

KEITA - GINI - HENDO

ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA


ALISSON

Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri

Hapo lazima Watford alale 5
Hapana, 5-0 itakuwa kuwaonea. 3-1 tu inatosha na hatukuhitaji clean sheet!
 
Dah jamaa katukosea heshima anamfananisha fabinho na hendo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na kwenye game ya watford akipiga pasi nyingine ndefu ikazaa goli watasema apewe mkataba wa maisha
 
Duuuh kuna watu mna roho mbaya ! Umesahau cross ya Hendo iliyomaliza Man City !?
 
Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0

Line-Up ningependa iwe:

MANE - ORIGI - AOC

KEITA - GINI - HENDO

ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON

Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri

Hapo lazima Watford alale 5
Ki-jana karudi ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…