Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunaangalia tofauti.m imi naona mido ndo mbovu na ndo zinapelekea fowadi zi choke mfano Mane anaridi hadi nje ya kumi na nane yetu mpaka afike kwa wapinzani keahachoka
 
Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.
Nipo upande wako halafu wanapo leta ubora wa angalie na mshahara anaolipwa tuponde kwa haki hata akiharibu yule makosa yatarudi kwa kocha nionavyo mimi
 
I think this is a joke right?

Hivi toka Adrian amedaka Liverpool, tumepoteza mechi ngapi EPL?

How do we measure goalkeepers performance?

Kwasasa Liverpool simpimi mchezaji kwa kutokupoteza game! Naamini hata akae Karius kwenye EPL kwasasa tutawasha moto na hatutopoteza.

Unless uniprove wrong kwa kusema Adrian ni miles better compared to Alison coz Alison ameshapoteza game against Napoli, is it right?

Let's say Adrian is our best goal keeper now.

Adrian 0 Lose
Alison 1 Lose
 
Ha ha haaa ameharibu lini mpaka una khofu kiasi hicho.
Kumbuka amekupa kombe huyo.

Kama nipo sahihi basi Jana hajadaka moja kwa moja hata mpira mmoja katika mashuti aliyopigiwa.

Alikuwa anayatema ikisha anadaka tena.

Kuna mpira mmoja ulimtoka unaelekea golini akaurukia.

Akipata Forward mviziaji basi arasubiri mipira ya kutema tu aitumbukize.

Si unakumbuka Danny Ings alivyokuwa akimvizia mpaka akampa boko?
 

Alisson is miles better than Adrian, hiyo haina ubishi.

Nimeshangaa sana kwa wewe kusema bora Juma Kaseja kuliko Adrian golini.

Mimi ndo nikauliza, golikipa performance yake inapimwa vipi?

So, baada ya kunipa vigezo hivyo, niambiwe Adrian kaharibu wapi kiasi cha Juma Kaseja kuwa bora zaidi ya Adrian.
 
Njooni huku kwenye TV Manure wameshapigwa! Ya Arsenal niliachia njiani naye akiwa amepigwa matokeo ya mwisho sikujua ilikuwaje?
 

Nahisi challenges tulizopeana zinatosha let's stop here about Adrian.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…