Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ukisikia "the swapping of English football stature" ndiyo hii sasa...

7-8 years ago LFC was in the position that Manure & Gooners find themselves in today..... what a moment to be a LFC fan!

 
Liverpool game za mwisho mnachechea tu, crystal palec kawatoa udenda napoli kawaingilia vibaya

Sasa naona mnajipangia matokeo kwa hawa wendawazimu sulzburg ambao wanataka kuingia 16 ,


Halland ataua mtu
Wababe wa kupindua meza unawajua? Kawaulize Bayern Munich!
 
Sikuhizi kumeibuka washabiki wa kiajabuajabu wanazunguka kila jukwaa kuandika ujinga tu.

Wao huwaoni kuandika kitu ambacho kinamake sense bali ni pumba tu.

Even some LFC fanboys wanaranda Nyuzi nyengine kuandika Pumba tu jambo ambalo sio utamaduni wa Kopites.
Kabla ya this Awamu (Magufuli era) sikuwahi kuwaona Kopites waliotutangulia Kuwa na Tabia ya kurabdaranda nyuzi za majirani kuandika Pumba.
But kwenye this Magufuli era wamekuwa wakisambaza huzi Pumba.
 
Ukisoma makala aliyoielezea UCL final 2005 unaona huyu ni binadamu na nusu.
Anakuambia HT kwenye dressing room watu walikata tamaa ukiwatizama usoni (facial expression) 1.wanacheza na team inayo wachezaji wa kiwango cha dunia 2. wapo nyuma 3-0 haikua kazi rahisi.
Gerrard anasema benitez hakuzungumza chochote dressing room (ni kama aliona imeisha ) Gerrard ndiye aliongea aisee",.
Anaendelea kusema niliwaambia hivi we are Liverpool twende tuwaoneshe sisi ni Liverpool twende tukapambane kuwaonesha kops who are we",.
aise our captain fantastic Stevie G",.

Binafsi yake alikua akiwaza kukabilia na Kaka kiungo mwenye ubora wa kila namna haikua jambo jepesi kukubali akilini na mwilini wanaweza kurudisha magoli matatu.
.
 
Baada ya stevie G kuongea benitez akatoa inspiration team work hapo na tactical changes wakarudi dimbani mpka leo ni miracle of Instanbul...

“Early on everyone was talking, trying to help each other out and ask each other why we were so bad in the first half and why Kaka was causing us so many problems,” Gerrard said.

“It was probably because we only had two [midfielders] in there – me and Xabi [Alonso] – and they had a diamond so we were outnumbered in there.

“There was a lot of noise early on but Rafa came in there and calmed us all down and gave us that inspirational team talk which helped us to go on and get back in the game.”

Gerrard added: “Didi [Hamman] coming on was key … [he was] that security for the team and that allowed the attacking players to go on and create and score goals".
 
Hahaaaaaaaaa
 
Mind your own business bro,

Hakuna binadamu wa kukufurahisha wew muda wote

Who are you by the way?,
 
Mind your own business bro,

Hakuna binadamu wa kukufurahisha wew muda wote

Who are you by the way?,

'Who am I?' Do u wanna know who the fvck I am? Really?

Fine! I'm who I am

But you should learn how to shut your fucking mouth
Not necessary to reply every 'quote' especially mine coz can't give a shit kwenye your foolish quotes.

Do me a favour Buddy, "DO NOT QUOTE ME".
 
Wamejichokea? Kwani Bayern anatoka ligi gani na Salzburg anatokea ligi gani? Kama tunaweza piga bingwa wa ligi inayoeleweka tutashindwa piga bingwa wa ligi sawa na ligi ya south?
Asee sale watoto hawashindi goli moja tu au mbili ..ni wanapiga balaa..

Kuanzia tatu na kuendelea uko..
 
Gerrard alikuwa mtu na nusu, ni furaha kumtizama uwanjani, mpambanaji, muhamasishaji. Nilijisikia vibaya mnoo siku aliyoteleza demba ba anaenda kuweka msumali.
Hahaha Gerrard moja ya kiungo mzembe mzembe iv kuwahi kutokea ..ukiachana na iyo ya Demba Ba kuna ile alimpasia King Didier ikawa bonge la assist aise ...[emoji3][emoji3][emoji3]

Liverpool alikufa 2-0

Steve G alibebwa na akina Babel, Alonso, Glen Johnson, Carragher Jamie...bila wao hamuna kitu mule..[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Umekaa zako uko ushashiba maharage unaanza kuandika ushuzi. Ulikuwepo wakati anasema? (Jokes bana) [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sir King Kenny Dalglish
Learn History boy

Stive G are on his way
Uyo Dalglish anafundisha timu gan sasa? Ata apo Liverpool Si alifeli?

Uyo Gerrard labda aje afundishe Maji maji ya songea au nangwanda sijaona hana ata hadhi ya kufundisha mtiba shugwa ya Moro[emoji41][emoji41]
 
Dont qoute me ..who are u ???

Just start your forum and a will note qoute u
 
Ugumu was maisha unachangia mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…