Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Couldn't say otherwise man but Klopp jana selection was a bit bizarre bro I mean why put Gomez, Hendo, Milner in the filed together and expect to create chances with Napoli playing 5 on the back when we attacked...kabisa kabisa kaka...that's what we're praying for.
nina uhakika vs Napoli he was going for all 3 points but sometimes these things (stalemates) do happen and you have to dig in and settle for the scraps at least.
and let's not forget that Ancelotti (the master of UCL) this season amei mould Napoli primarily kwa ajili ya hii competition... so draw tuliyoipata jana tusiichukulie poa - it isn't a bad result at all, with the Ancelotti factor in the equation.
I know. hata ya Barca ilikuwa ngumu zaidi ukizingatia hatukuwa na Salah wala Bobby!Ila hiyo match haitokuwa nyepesi hata kidogo...
Mechi ya Salzburg.... UliiangaliaHakuna kitu kigumu kama kuwazuia salzburg kufunga.... Hapo difference ya magoal ndo itaamua nani ameshinda na nani ameshindwa...
I know. hata ya Barca ilikuwa ngumu zaidi ukizingatia hatukuwa na Salah wala Bobby!
LFC always has it their way in this competition.
Sasa hendo ni mchezaji wa arsenal?? Halafu kuna yule mwamba alimlambisha mchanga VVD unamkumbuka kweli?Mechi ya Salzburg.... Uliiangalia
Yaan kuna watu hii dunia
All was because of that shit hendo
Group stage kuna head to head count???? Wakat gor difference anakuzid,
Mbaya zaid table itamove automatic
Hakuna kitu kigumu kama kuwazuia salzburg kufunga.... Hapo difference ya magoal ndo itaamua nani ameshinda na nani ameshindwa...
Sijui umeanza kuangalia UCL mwaka gani lakini kamuulize mshabiki mwenzako wa Chelsea lembu akufahamishe kuwa kwenye Group Stage ya CL munapofungana Points hata kama mmoja ana GD +10 na mwengine ana +1 basi kinachoangaliwa sio Hizo total GD Bali zinazomatter ni GD za only Head to Head.
Sijui umeanza kuangalia UCL mwaka gani lakini kamuulize mshabiki mwenzako wa Chelsea lembu akufahamishe kuwa kwenye Group Stage ya CL munapofungana Points hata kama mmoja ana GD +10 na mwengine ana +1 basi kinachoangaliwa sio Hizo total GD Bali zinazomatter ni GD za only Head to Head.
Ahahaaaa acha kujifariji mzee wa futuhiKuhusu Liverpool kutinga next round hapo hapana kitu cha kujadili cos hakuna wa Kuizuia Liverpool isisonge mbele.
hesabu za vijiti na mawe:
kitatokezea kitu gani endapo liverpool atakubali kufungwa goli 1 au zaidi na Red Bull?
liverpool 4 - red bull 3
red bull 1 - liverpool 0
ukiachana na head to head hata ukiangalia goal difference liverpool wamezidiwa na hawa jamaa.
hii mechi si ya kukosa kuiangalia ukijaaliwa uhai
Liverpool ni wataalam wa mechi ngumu, kama munchen alikaa huko huko ujerumani ndio itakuwa hao watotoHuyo salzburg siyo kama man u.... Japo mlimfunga match iliyopita ila hiyo match ijayo itakuwa ngumu sana sababu hata yeye anajua akishinda basi ataqualify...
Tulihitaji goli nne ili barca ya messi na Suarez watoke na walitoka sasa hao Salzburg ndio watapona? Timu yetu ni hatari kuliko hicho kigenge mnachokopigia upatu humuWala sikubishii.... Ila kaa ukijua huu msimu hakuna game ambayo salzburg wamecheza bila kuscore hata goal moja. So hiyo game yenu itakuwa ni minus sum game...
Anaemiliki kombe la futuhi ndio mzee wa futuhiAhahaaaa acha kujifariji mzee wa futuhi
hesabu za vijiti na mawe:
kitatokezea kitu gani endapo liverpool atakubali kufungwa goli 1 au zaidi na Red Bull?
liverpool 4 - red bull 3
red bull 1 - liverpool 0
ukiachana na head to head hata ukiangalia goal difference liverpool wamezidiwa na hawa jamaa.
hii mechi si ya kukosa kuiangalia ukijaaliwa uhai