Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Kwakuwa mnacheza na Napoli ndio mnaleta visingizio kuwa mnaitaka PL kuliko CL kwasababu mnajua hawa muda wowote wanaweza leta msiba....
Kama hamuitaki CL msipeleke timu uwanjani ,mjaindae na game ijayo ya PL...
bro neno kipao mbele bila shaka unalielewa vizuri.Kwakuwa mnacheza na Napoli ndio mnaleta visingizio kuwa mnaitaka PL kuliko CL kwasababu mnajua hawa muda wowote wanaweza leta msiba....
Kama hamuitaki CL msipeleke timu uwanjani ,mjaindae na game ijayo ya PL...
Moja ya wachezaji tunapoteza kipaji chake ni keita.Yaani Klopp kwa kututia pressure anaweza aisee. Yaani hata Keita hayupo kwenye bench. Hiki kiungo cha ma-captain wetu kitakuwa na pumzi kweli ya kupambana na viungo wa napoli?
Tusubiri na tuone.
Ndugu, mtu ana majeruhi kila kukicha. Au hilo hulioni?Moja ya wachezaji tunapoteza kipaji chake ni keita.
Huyu jamaa ni talented boy ila sijui nini kipo nyuma.
Bora aondoke anusuru kipaji chake tu bado sioni ni namna gani ataingizwa kwenye 1st ikiwa bado
Hendo
Millie
Lallana Wapo ,
Naelewa hilo kakaNdugu, mtu ana majeruhi kila kukicha. Au hilo hulioni?
Naelewa hilo kaka
Je, Huoni kwamba sisi ndio tatizo ya majeraha yake? kwa namna moja au nyingine
kwa sababu akiwa Leipzig hakua injury prone.
i wish sana huyu jamaa akae sawa",.Mkuu Keita anapata majeruhi kutokana na aina ya uchezaji wake, ukizingatia ligi ya uingereza inahitajika physical sana. Klopp anajitahidi ampe nafasi zaidi ya kutuliza majeruhi hataki kumuwahisha.
Mkipigwa then Slazburg nae akishinda match kati yenu na huyo itakuwa ngumu sana.Shida itaanzia hapa KUUMIA KWA FABINHO...I HOPE SIO YA MUDA MREFU
Kwa kikosi kile wasiwasi hukwepi...kwa mara ya kwanza najawa na wasiwasi wa mechi ya home msimu huu.
Haka kaupepo kanipitie mbali.
must win match.