SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Unaumwa ww [emoji23] [emoji23] hapo Anfield hata aje nyoko gani, hatoki! Shida ulikutana na aliyekuzidi. Ajax kakuzidi kila.kitu.Sasa huoni kama tuko kundi gumu zaid kuliko nyie ...jana mko home mnakaziwa na akina Samata mnapata ushindi wa kusua sua ..mkikutana na Ajax itakuwaje ...kwake utashinda ...Apo Anfield lazima uwanja uiname ...
Asante Samata
Thanks vijana wameweza sasa kuchukua uongozi wa UCL
Napoli anakaa bila wasi wasi wowote Anfield
Sasa Klopp anatayarisha vijana kwa game kubwa ya Jumapili
WILJ . FABIHNO . OX
Nasali Klopp apange kiungo hiki Jumapili
Hendo anaumwa
Eeh anaumwa mafuwaNi kweli mkuu??
Huyo ajax msimu uliopita alitukimbia, tena ajax kamili sio hii iliyovunjwavunjwaSasa huoni kama tuko kundi gumu zaid kuliko nyie ...jana mko home mnakaziwa na akina Samata mnapata ushindi wa kusua sua ..mkikutana na Ajax itakuwaje ...kwake utashinda ...Apo Anfield lazima uwanja uiname ...
Asante Samata
CL hamuwezi kubeba msimu huu ukweli mchungu,najua mtabisha lakini ukweli utabaki palepale kikosi mlichonacho msimu huu hakina pumzi yakutosha kufanya hivyo.Tukipita kwenye Makundi naona ni PSG pekee ndiyo inayoweza kutusumbua lakini waliobaki sioni wa kutuzuia.
Kwa Barcelona hii ya sasahivi bora hata ya last season ilijishika kidogo
Na mpaka sasahivi sijaona contender wa kujakugombania Ballon D'or na Mchezaji bora wa FIFA kwani Neymar, Mbapee, Messi na Ronaldo mpaka sasa hawapo kwenye ubora wao na Hazard ameshachemka, While VVD naye lililomsibu analijua mwenyewe.
Ni wazi kuwa tukibeba CL basi Mane atapita bila ya kupingwa.
Mkuu naona msimu huu ni kote koteCL hamuwezi kubeba msimu huu ukweli mchungu,najua mtabisha lakini ukweli utabaki palepale kikosi mlichonacho msimu huu hakina pumzi yakutosha kufanya hivyo.
Ni kweli Ajax wametuzidi Kila kitu ..huo ni ukweli kabisa ...Unaumwa ww [emoji23] [emoji23] hapo Anfield hata aje nyoko gani, hatoki! Shida ulikutana na aliyekuzidi. Ajax kakuzidi kila.kitu.
Sawa chief.Jitahidi kuwa na maneno ya akiba
Hafu we ushakua sa hivi sio mtoto tena
PungUza mambo ya kitoto chief
Wameuza wachezaji wawili tu ..halafu iliwakimbiaje ..kwani wao ndo wanapanga ratiba ya uefa? Ngoja mkutane nao sasa.Huyo ajax msimu uliopita alitukimbia, tena ajax kamili sio hii iliyovunjwavunjwa
Wameuza wachezaji wawili tu ..halafu iliwakimbiaje ..kwani wao ndo wanapanga ratiba ya uefa? Ngoja mkutane nao sasa.
Na hivi beki zenu zimeanza kutoboka..
Eeh anaumwa mafuwa
😅😅😅Sawa chief.
Hahaha man Anfield fortress sio mahala salama kabisaaa...And am repeating again bring them all
Pep will take the first 30 minutes to see how the game unfolds...1. Pep will play more conservative again like last season because he is too afraid of Liverpool's attack and transition game. It worked well for them last season.
2. Pep would take a draw now and back his team to make up the 6 point gap in the long-term, like last season, which they most probably will. 9 points would be a game changer.
3. Going into December with a 9-point gap rather than 6 or 3 is a massive difference. We play smaller sides in Nov/Dec. City play Chelsea, United, Arsenal and Leicester in Nov/Dec. If we do our homework there, then the 9-point-lead could potentially grow into double digits before New Year.
4. We failed to beat City in the last 3 meetings and Klopp made the players watch City lift and celebrate the Community Shield. Sent out a message right there.
5. I think we must win on Sunday. If you want to win this League, you need to beat City.
Narudia tena, waumwa wewe. Genk ambaye nyumbani kwake tumemtutusa za kutosha. Akaja nyumbani kwetu pia akala 2 kwa moja tena kwa kutoweka kikosi namba moko. Mane nje, Firmino nje ulinganishe na ww kucheza kwako na Ajax unaokolewa na kadi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli Ajax wametuzidi Kila kitu ..huo ni ukweli kabisa ...
Sasa wewe utaweza kupambana Naye? Kama Genk ya Samata inakutoa jasho tu...
Unadhan kwakuwa wewe amekusumbua basi na sisi atatusumbua? Unakalishwa mpaka kwako mzee baba? Wewe hata Mwanitesa anajipigia kama kwake hapohapo kwakoWameuza wachezaji wawili tu ..halafu iliwakimbiaje ..kwani wao ndo wanapanga ratiba ya uefa? Ngoja mkutane nao sasa.
Na hivi beki zenu zimeanza kutoboka..
Kama hawakutukimbia kilichofanya wasifike fainali ni nini? Huyo aliyempiga ajax nusu kwenye fainali tulimfunga, hata wewe tumekubondaWameuza wachezaji wawili tu ..halafu iliwakimbiaje ..kwani wao ndo wanapanga ratiba ya uefa? Ngoja mkutane nao sasa.
Na hivi beki zenu zimeanza kutoboka..