Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,023
Ukicheza sehem ukaona ni better kuriko uliokuwa unacheza kabla, yes, unapata position mpya in football
Klop mwenyewe kaadmit hayuko vzr kwenye kucheza kama Attacking na anamuweka ili kuziba gaps ambazo angewachezesha wengine zingekuepo
Simkubali kwa kiwango na hana talent
Ila msaada wake nae upo
Though ningeprefer namba yake acheze chambering
Hendo hawezi kucheza CAM maana hana uwezo huo
Hendo kwa anavyocheza ni katikati ya hzo mbili
Binadam wanabadirika kutokana na kikosi na ata Bale alikuwaga beki zaman
Kuna hii kitu kwenye mpira
You ague kwasababu unataka kila mtu awe kama flan
Patia picha kwanzia midfielders wote wangekuwa messi in everything, do you think wangeshinda???
Kushinda kunahitaji team work na team work kila mtu anamajukum japo unaweza usiyaone ww, jana nimeangalia mechi, na mostly nilikuwa nafocus kwa hendo, chambering na Keita
Sa ukija ukasema hendo anacheza kama CAM nakushangaa sana, though hatuna hyo namba kimfumo sasa, ila CM wetu wote wale wawili tukiwa tunashambulia wanabadirika na kuwa attacking midfielders, ila hendo anabaki nyuma mda wote na hawa wengine wako mbele, kupanda kwake ni mara chache mara nyingi anakuwa upande wa TAA uku, tatizo mnaongea nyie kwa kuangalia mpira unapoenda tuu
Ok letsay akabadirishwa asicheze, hapo pia kuna mawili, kuna vitu tutavikosa, kuna vitu tataviongeza,
Ndo maana Klop ni mjanja anamuingiza chambering na keita wakati tim nzima inashambulia
Ni wazi mbelen Ox atapata namba ya kudum, ni sahv tu anamuonjesha kidogo kidogo ila namba yake ipo, ilikuwa hvyo kabla hajaumia na itakuwa hvyo
Shituka, mkuu ukiona attacking midfield anaanzishwa ku-cover nafasi ya fullback ujue ipo shida kwake(hawezi ku-create chance kama fullback anavyofanya). Hivyo basi capitano yeye mwenyewe anajua kua huo uwezo hana ndio maana anakubali kucheza kama cover ya namba mbili apandapo kushambulia which is his basic responsibility
Acha kuandika upumbavu ndugu ..kwani Africa unaionaje?Huyu Sadio Mane tumuache tu kwa kweli, wala hatakiwi kuwa na asili ya Africa
SADIO MANE = Salah + Aguero + De bruyne + sterling
Huyu Sadio Mane tumuache tu kwa kweli, wala hatakiwi kuwa na asili ya Africa
Wewe tupo sawa kabisa kimtazamo kwa maksudi anachelewesha au anawahisha au anababatiza beki ili tu aonekane katoa pasi namuona hivyo sababu kabla alikua akitoa za uhakika pale mbele naona kaghaili naamini itamghalim mwwnyewe mana nyota ishahamia kwa ManeMane ndo roho ya liver sahv
Salah ana ujinga flan hv sikuiz ya kulazimisha ye ndo aonekane star kwenye gem na kuwanyima wengine passi za mapema nzr,
Mara nyingine mtu yuko pazr anachelewesha pasi au anapiga pass mbaya mpaka mtu unashangaa
Kwanini Tunapocheza Game na ikawa tayari imeshatushinda (Mfano Manure & Villa) Klopp anawaingiza OX na Keita kulazimisha kupata Matokeo?
Kama hawa anawaingiza kwa ajili ya kutafuta Matokeo pale inapoonekana tayari imeshindikana kupata Matokeo, Kwanini hawaanzishi Mwanzo?
Je, Kumbe Klopp anajua kuwa OX na Keita wanaweza kutupatia Matokeo from nowhere?
Je, Klopp anajua kuwa mido ya Gini-Hendo haina uwezo wa kutupatia Matokeo kwenye tight game?
Hivi ndiyo ataendelea kutafuta Matokeo dakika ya 80+ kwenye tight game kwa kuwaingiza OX na Keita badala ya kuwaingiza mwanzoni mwa Mchezo?
Mwenye uwelewa wa hayo maswali hebu namimi anieleweshe.
Wewe tupo sawa kabisa kimtazamo kwa maksudi anachelewesha au anawahisha au anababatiza beki ili tu aonekane katoa pasi namuona hivyo sababu kabla alikua akitoa za uhakika pale mbele naona kaghaili naamini itamghalim mwwnyewe mana nyota ishahamia kwa Mane
Mkuu unatuchoshaHendo hawezi kucheza CAM maana hana uwezo huo
Hendo kwa anavyocheza ni katikati ya hzo mbili
Binadam wanabadirika kutokana na kikosi na ata Bale alikuwaga beki zaman
Nice, brother.Sinama Pongolle
Nice, brother.Brad Jones,M.Kelly,Fabio Aurelio,Jonjo Shelvey,J.Cole,R.Babel,C.PoulsenM.Jovanovic.
No, hahaha!Fernando Morientes
Yes, hahahaha!Sinama Pongole
Henderson, had his worst period in his LFC career playing as a DM.Ukicheza sehem ukaona ni better kuriko uliokuwa unacheza kabla, yes, unapata position mpya in football
Klop mwenyewe kaadmit hayuko vzr kwenye kucheza kama Attacking na anamuweka ili kuziba gaps ambazo angewachezesha wengine zingekuepo
Simkubali kwa kiwango na hana talent
Ila msaada wake nae upo
Though ningeprefer namba yake acheze chambering