Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha
 
Hahahaha aise ci uwe shabiki wa Liver mbna unateseka hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu dully Jr leo ni kipigo uko..

Tunataka Pepe afunge hatrick kama mdogo wake CPulicik[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ukweli kabisa mkuu bora Lallana kuliko Hendo
 
Glujic anatarajiwa kung'ara zaidi ya Miliner

Kwa nimuonavyo akiaminiwa mpaka apate uzoefu tutamshuhudia Gerard mpya
 
Spurs hakuna team work now days so itegemee kuchakazwa ama kichapwa ( 4_0 )
Matokeo ya leo, inategemea na jinsi klopp atakavyopanga midfielders wetu. Kama ataanza Captain hakika mpira utapoa. Kama ataanza Keita na Ox nategemea pressing za maana.
Uhakika ni kwamba hii game hatupotezi, ila tunapaswa kushinda ili kujiimarisha pale juu. Ref mahasimu wetu sio City tena. Wanaongezeka. Nawaona na Chelsea na Fox wakija kwa karibu.
 
Nyie mnaomfanannisha Lalana na Hendo naumia sana jamaa anakipaji mjue majeruhi tu yanampoteza.
Hendo hata kugeuka na mpira hawezi mnamfananisha na mtu ambae anachagua mpira aupokee na mguu gani kweli?

Katika mechi tatu Lalana hakosi kukupa kitu cha kuisogeza team mchunguzeni.
 
Hendo leo hakai benchi na akimuweka benchi Kloop atakoma kwa ma basha zake.

Mtanisamehe wadau mana hana stutars zozote mpaka sasa je tuamini anajivunia nini?
 
Na ndio maana sijawahi kumulaumukumulaumu hata siku moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…