Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Shaqir bado hajapona ndugu..Duh me mkuu niko tofauti kidogo na ww kwa lallana kuanza haipendez bora aanze shaqir maan hua ni mtu anaewaza timu ipande ikashambulie karibia muda wote ikishindikana kbs akae hata keita
Bas acheze hat keita maan keita kuunlock mabeki yuko vzr na hata speed anayo sio kama lallana anakimbia kimbia tu without a direction of forceShaqir bado hajapona ndugu..
Mkuu umeandika lugha gani hapa!!! Sijaelewa kabisaKila la kheri Man U.
Tatizo la man u wakifunga liverpool utawasikia ubingwa wetu. Na maneno mengi.
Bora mtoe draw tu basi ili mjisifu wote. But itapendeza zaidi kama mkiwafunga najogoo
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kila la kheri Man U.

To score today..
Hahahahahahahahah...... It's a Biggest Derby Man, Don't say that.Katika mehi zetu rahisi tangu dunia iumbwe basi ni mechi ya leo. #Ynwa
Mn utd fans huwa wana matatizo sana aniKila la kheri Man U.
Tatizo la man u wakifunga liverpool utawasikia ubingwa wetu. Na maneno mengi.
Bora mtoe draw tu basi ili mjisifu wote. But itapendeza zaidi kama mkiwafunga najogoo
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Is he even in contention... No taking riskToday.......My eyes are on Mo Salah.
Degea has declared himself fit...Martial is part of the United squad that has arrived at #MUFC. De Gea is also here.
Pamoja na hii mind game
Nawatakia Ushindi mzito Wana Liverpool
Kila la kheri kopities