Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
nashangaa wanaoiogopa hiyo mechiBila Degea hawa jamaa tungeshajipigia mpaka basi..
Degea Kwa kweli namkumbali...
Sasa dalili mapema ni hayumo aafu tushindwe lol..
I predict we will score 3 em 1
That season vs Manu na vs Spurs alitucost vimbaya mno kuna binadamu wenye bahati yupo kikosini mpaka Leo na mshahara Wa 100k per week mpaka mwaka kesho 2021..Playing Lovrent ni death warrant! What's left in his current contract?
Salah bado wana mtazama..nashangaa wanaoiogopa hiyo mechi
Mmeshaambiwa golini yupo Romeo
Una salah mane firminho tayari una uhakika na magoli mawili hadi hapo
Man u wapo ktk hali mbaya wapo nafasi ya 12 huku pia kesho wakitarajia kuwakosa nyota kama POGBA and DE GEA ambaye amekuwa ndo muokozi wao sana .
Kucheza na team kama liverpool huku unamkosa mtu kama degea golini means unawapa nafasi MANE, SALAH and FIRMINO kupata magoli kirahisi zaid. Na pia kumkosa mtu kama POGBA kutawafanya MAN U kutotawala dimba wala kupeleka mashambulizi mbele mara kwa mara hasa kutokea kati.
That season vs Manu na vs Spurs alitucost vimbaya mno kuna binadamu wenye bahati yupo kikosini mpaka Leo na mshahara Wa 100k per week mpaka mwaka kesho 2021..
Kesho Klopp aisje akatwekea the self proclaimed best CB in the world..
Sisi mkakati wetu ni kuhakikisha mpaka January tunaongoza ligi, kwa iyo ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..@Ollachuga Oc bana, dua la kuku halimpati mwewe. Kutuombea sisi tupoteze game ili nyie mpande, haitakusaidia kitu. Maana nyie sio wapinzani wetu kwenye tittle race. Hapa wakumwombe apoteze ni City na sio reds.
Kwa misimu mingap Man u inapanda na kushuka lakini umeshinda game moja tu??Powa ndugu....
Zawadi murwa kabisa ya krismasi ndio hii hapa wapigwe pale pale kwao...
Kinyume chako itakuwa ni vyema ..timu kubwa za leo zitashinda zoteeee ..ila kesho ndo mziki ulipo ..hasa pale OT, afe kipa afe beki ..Ushindi lazima ubaki Jijini Manchester...Weekend mashabiki wa liverpool wanandoa kuongezeka uzito maradufu, tunaanza kesho city anakufa kwa Palace, Jumapili manure anachakaa, tunatoka na points zetu 3 huku difference sasa ikiwa 11 kati yetu na kikosi cha pep.
Kinyume chako itakuwa ni vyema ..timu kubwa za leo zitashinda zoteeee ..ila kesho ndo mziki ulipo ..hasa pale OT, afe kipa afe beki ..Ushindi lazima ubaki Jijini Manchester...
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ao mashabiki ni wa uko tandale kwa tumbo au sinza makaburini ...sis mashabiki tuliokomaa kisoka ..tunaona kabisa hii Liverpool ikistrago apo OT ...Mkuu sio hao tu hata mashabiki wao huku wameanza kutuomba tuwapige nyingi ili wazidi kupata sababu ya kumfurusha mhasishaji Ole...na sisi kwa Mara nyingine tunawahaidi hatutowangusha.kila mahali ni dharau tu ha ha ha ha
Nyie yenu ni top four, tena ushindane na kina aseno na spurs kwenye nafasi mbili zilizobakia. Maana 1 ni ya majogoo na nyingine ni ya city.Sisi mkakati wetu ni kuhakikisha mpaka January tunaongoza ligi, kwa iyo ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..
Come on Man united [emoji123][emoji123][emoji123]
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Sisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...Nyie yenu ni top four, tena ushindane na kina aseno na spurs kwenye nafasi mbili zilizobakia. Maana 1 ni ya majogoo na nyingine ni ya city.
Pamvana kwanza na kina leicester na spurs. Sisi kwa sasa si level yenu.
Nini kiliwafanya mkamwachia Moses?
Hii Liverpool inayoendelea kuchoka taratibu.Huna kikosi cha kupambana na Liverpool ya msimu huu. Pambana na akina Watford na sio Liverpool maana sio size yako
Tupigwe na city au united mkuu mbona unadata au uko vyomboSisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...
Sisi kupanda na kuwatoa apo juu ni suala la muda tu...
Kesho ukipigwa na City akikupiga halafu ukaja draw gemu kama tatu ivi, baaas kwishineii
Kinyume chako itakuwa ni vyema ..timu kubwa za leo zitashinda zoteeee ..ila kesho ndo mziki ulipo ..hasa pale OT, afe kipa afe beki ..Ushindi lazima ubaki Jijini Manchester...
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tupigwe na city au united mkuu mbona unadata au uko vyombo
Sisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...
Sisi kupanda na kuwatoa apo juu ni suala la muda tu...
Kesho ukipigwa na City akikupiga halafu ukaja draw gemu kama tatu ivi, baaas kwishineii