FACT MKUU.Wanamuonea tu huyo Masai Ole, ile timu ina uongozi mbovu wa Ku recruit na kunegotiate deals za wachezaji .
Maana kila dirisha huwakosi kwenye top 2 ya timu zilizo spend big money
Na hadi sasa takwimu zinasema toka 2013 wameshatumia £1billion.
Keita need to resurrect his career at Reds and shake off his injury trend.. Boy has talent but staying fit is proving a mammoth task..Hii combination ilikuwa nzur sana na ox akirudi kwny ubora wake nafkir wijd ataanzia benchView attachment 1236760
Hahaha kaka you have made my day... Kumbe hili jina la mashetani wekundu si bure mbali 'mashetani' wamo pale OTUkiangalia kwa umakin game ya mwisho man u na liverpool ile ya 0-0,
Utagundua kabisa klop alishikwa kiaakili, man u walipata maheruhi wa kutosha lakin klop alishindwa kuamua game,
Pale OT kuna natural power inawarinda wale mashetan sio bure, liverpool waliduwa nguvu walikuwa nazo, uwezo walikuwa nao ila walishindwa kuamua, sasa na hii var +referee +man u kushuka chin baada ya kupigwa naona kabisa wakifanya kila jitihada man u kushinda hii game, japo majogoo wanauwezo,
Kuna muda matokeo lazima yapagwe tu
[emoji23][emoji23][emoji16]
Liverpool anaenda kushinda 2+ baada ya mechi nitafute
Bro trust me,Hahaha kaka you have made my day... Kumbe hili jina la mashetani wekundu si bure mbali 'mashetani' wamo pale OT
Ngoja tuone ila kwa hali waliyo nayo plus injuries kama ya degea ,na ubora wa kikosi cha Liverpool ,sioni Liverpool akikosa goli 2Brother kawaida ya North West Derby haiwi nyepesi kiasi hicho
Hahaha aisee sasa tunakomaa na maombi Mkuu ili huyu Klopp asikamatike tena na asione huruma kabisa....Bro trust me,
Ni game ambayo within 43min,man u walikuwa wameshapata majeruhi 3,na wameshafanyiwa sub, cha ajabu liverpool walishindwa hata kupata gori moja,
[emoji23][emoji23]
Huku upande wa liverpool salah, mane wakiwa kwenye form, najua firmino aliumia but, sio kigezo, klop alishikwa kiakili akaanza kuowaonea huruma man u, hata ile morali ya kuhamasisha wapande haikuwepo tena,
This news is as good as beating Manu... Kweli hii wiki ya mazuri tu...Joe Matip amesaini kandarasi na majogoo wa liverpool, ambayo itamweka klabuni melwood mpaka 2024.View attachment 1237455
Hivi unakumbuka msimu Wa 2017-2018 pale OT alichofanya Lovren tukipigwa kama vile hatupo..Best News!
Endelea kuipigania Timu Anko Matip
Nakutakia Safari Njema Lovren ya kusota kwenye Bench
Bila Degea hawa jamaa tungeshajipigia mpaka basi..Ngoja tuone ila kwa hali waliyo nayo plus injuries kama ya degea ,na ubora wa kikosi cha Liverpool ,sioni Liverpool akikosa goli 2
The day to remember....
Kesho hiyo inajirudia[emoji123]#YNWAView attachment 1237853
Hivi unakumbuka msimu Wa 2017-2018 pale OT alichofanya Lovren tukipigwa kama vile hatupo..
Japo Lukaku hayupo alietumaliza hio gemu sitarajii kumuona Lovren uwanjani with a fully fit Matip...