Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mzee wetu wa backpasses, bwana Hendo, alichofanya jana kwenye mechi ya Czech ni mwendelezo wa ubora wake uliotukuka. [emoji23][emoji23]
Hizi takwimu ndio alizokua akizitumia Daniel Comolli kufanya recruitment kutuletea kina Andy Caroll, Jordan Henderson, Charlie Adam, Stewart Downing, Doni, José Enrique, Sebastián CoatesSalah tokea ajiunge na Liverpool after the first 10 games kwa kila Msimu:
√ 17/18: 6 goals, 1 assist
√ 18/19: 3 goals, 1 assist
√ 19/20: 6 goals, 3 assists
It might not be the general perception, but he's actually had his most productive start to a season ever for Liverpool.
Huu ndiyo Msimu wake aliouanza vizuri zaidi tokea ajiunge na Liverpool
Hizi takwimu ndio alizokua akizitumia Daniel Comolli kufanya recruitment kutuletea kina Andy Caroll, Jordan Henderson, Charlie Adam, Stewart Downing, Doni, José Enrique, Sebastián Coates
Mpira unachezwa hadharani brother kila mtu anaona,kwa lineup yetu hakuna wa kumweka Salah benchi ila ikimpendeza bwana Jk aingie sokoni kutafuta players wa kuchalengeMshambuliaji kigezo chake kikubwa hupimwa kwa ufungaji that's why nimeleta stats ya aina mbili tu ya Kufunga kuassist.
Sijakulete Dribbling, Tackle, Take on, and co. Coz sio jukumu la msingi la Mshambuliaji.
So, Hao uliowataja ukitoa Carroll nao wana criteria zao za stats za kuwapima ambazo huyo Comolli hakuwasajili kwasababu walikuwa na stats nzuri, bali aliwasajili kwasababu ya Bajeti na Timu yetu kuwa Mediocre kwa kipindi hicho.
Nadhani huna excuse yoyote ya kuabuse uwezo wa Salah coz anafanya Majukumu Yake Kama Mshambuliaji.
6 goals, 3 assists kwenye Michezo 10 huwezi kuzipotezea umuhimu wake hata kidogo.
Endeleeni kushinikiza aekwe benchi then utafute ni Mchezaji gani ndani ya Liverpool anaeweza kufunga 6 goals & 3 assists kwenye 10 games
Mpira unachezwa hadharani brother kila mtu anaona,kwa lineup yetu hakuna wa kumweka Salah benchi ila ikimpendeza bwana Jk aingie sokoni kutafuta players wa kuchalenge
Hahahaha kabisaaaa inazidi kupata...lolMzee wetu wa backpasses, bwana Hendo, alichofanya jana kwenye mechi ya Czech ni mwendelezo wa ubora wake uliotukuka. [emoji23][emoji23]
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".
Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.
Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.
Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.
Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.
Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.
Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.
Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.
Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Jana nlishindwa kuangalia Schec vs Egland, ivi kuna wapumbavu pale wa kumueka bench Trent ukiachia angalau Bissaka!!!
Na kwetu yupo 1st eleven muda wote what a miss and mess... Proper failure...Roy Kean: (On Czech v/s England) “Really sloppy, Henderson and Rice, they might as well sit with us in the studio, no affect on the game."
"Henderson's performance will leave him sweating over a place in Monday's XI against Bulgaria."
Bisaka anachojua ni tackling tu , hajui kama fullback wa kisasa na kushambulia ni muhimuJana nlishindwa kuangalia Schec vs Egland, ivi kuna wapumbavu pale wa kumueka bench Trent ukiachia angalau Bissaka!!!
Kuna Kieran Trippier huyo yuko First XI ya El Cholo ni anamimina cross za nguvu balaaJana nlishindwa kuangalia Schec vs Egland, ivi kuna wapumbavu pale wa kumueka bench Trent ukiachia angalau Bissaka!!!
Well said Roy KeaneRoy Kean: (On Czech v/s England) “Really sloppy, Henderson and Rice, they might as well sit with us in the studio, no affect on the game."
"Henderson's performance will leave him sweating over a place in Monday's XI against Bulgaria."
Bisakka mbona alipokuwa Palace alikuwa anatia krosi za maanaBisaka anachojua ni tackling tu , hajui kama fullback wa kisasa na kushambulia ni muhimu