Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ile mechi ilifanya mpaka leo tukose kujiamini kabisa
Kuna watu walianza kumtukana lovren kabla ya game. Gomez ile game aisee alitufanya tuonekane dhaifu, Lovren ile game ya mk dons alicheza vizuri. Gomez inabidi akaze maana kwa sasa atafuata baada ya lovren
 

Kufanyiwa kazi ni salah kuekwa benchi tu hamna namna nyingine huyu mtu sasa ivi Amekuwa ni mbahatishaji tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…