Kiukweli salah next game bechi limuhusu acheze tu Shaqiri badala yake labda anaweza jirekebisha akikaa benchi kama mechi 7. Ivi
Kakomae na assignment kwanza.. Kidding.. 4-3 tumechomoka kwa taabu sana..Ngapi ngapi ? ndo natoka lecture mazee
Aisee tumepigwaje hizo tatu eehKakomae na assignment kwanza.. Kidding.. 4-3 tumechomoka kwa taabu sana..
Kiukweli salah next game bechi limuhusu acheze tu Shaqiri badala yake labda anaweza jirekebisha akikaa benchi kama mechi 7. Ivi
Mnaongoza goli tatu na zinarud zote wakati munabeki bora kabisa vvd ..hii Liverpool ni uwezo binafs wa mchezaj mmoja mmoja ila timu imechoka aise ..pazuri ma Titans wengi msimu huu nj tia maji sio Liverpool, Chlelsi, Real n.k au pengine ushindani umeongezeka...
Dogo kumbe bdo upo shule aise ..kuna mchina cjui mkorea anaitwa Imunina ni balaa ..kafunga goli la kibabe na kutoa assist moja qali sana ..mbele bek bora kabisa vvd..Ngapi ngapi ? ndo natoka lecture mazee
Mnaongoza goli tatu na zinarud zote wakati munabeki bora kabisa vvd ..hii Liverpool ni uwezo binafs wa mchezaj mmoja mmoja ila timu imechoka aise ..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Mi sio dgo nshamalza miaka sita ya medicineDogo kumbe bdo upo shule aise ..kuna mchina cjui mkorea anaitwa Imunina ni balaa ..kafunga goli la kibabe na kutoa assist moja qali sana ..mbele bek bora kabisa vvd..
Kwa jana huyu captain alikuwa anaizamisha team. Mimi toka goal la 3 kwa moja nikawa najiuliza kwanini hatolewi. Mabadiliko yalichelewa kidogo tumeona alivyoingia mzee Milner stability na nidhamu ikarudi katikati. Kwa jana alikuwa hovyo sana tena sana. Pengo la Matip jana liko wazi Gomez najuwa bado mdogo na sio nafasi yake ni lazima twende sokoni beki wa kati na kiungo.Jordan Henderson.
Worst football player to ever played for this beautiful Club.
Aha shikamoo braza[emoji119][emoji119][emoji119]Mi sio dgo nshamalza miaka sita ya medicine
Nmeenda kuspecialize we dgo mwaka wa tatu huu bdo minne (neurosurgical residency training.)
Munaenda taratibu kurud kule mulipotoka..Halafu mwisho wa Msimu munakuja kusema tumebahatisha
Halafu una maneno ya kanga wewe!! Haya bwana tusubiri tuone.Munaenda taratibu kurud kule mulipotoka..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
marahaba !Aha shikamoo braza[emoji119][emoji119][emoji119]