Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo mistali ya mwisho ndo nnacho lilia sana kocha afanye na mchezaji hawezi kua fiti kwa mazoezi pekee japo dakika kumi awe anawapa kwa awamu mana wanao cheza si maroobot.

Hafu kuna siku mtu anakua hayupo mchezoni atolewe apewe nafasi mwingine mfano mechi ya man u kwa Shaqili alivyo tupa ushindi magoli yote alibabatiza tu yakaingia kinyume chake ndo utagundua kama kuna siku nzuri na mbaya kwa wachezaji.
 

Kuna December pia usiisahau mkuu, huwa iko tight sana ratiba yake.

Mwaka jana tulishinda game zote za December EPL na UEFA, nadhani ndiyo maana tulijikuta tumechoka January.

Ni kipindi hicho cha December City alipoteza 3 vs Chelses, Crystal Palace na Leicester.

So, niko very certain kwamba tukiivuka December salama, kazi inaweza kufanyika.
 
Mpeni matip mlio jisajili walau ajifafariji kwa jitahada zake.

Yani kama uliyonijua! Mimi nilimpa Matip kitambo ingawa najua Washabiki wa Mpira wanasifa ya kupenda Mtu kuliko kile kinachofanywa uwanjani. Kwahiyo Washabiki wengi wa Liverpool Mapenzi yao yapo kwa VVD kwasasa! Kwahiyo Watampa tu kura VVD badala ya Matip.

Lakini kwa Mwezi huu Matip anadeserve tunzo.
 

Hizo dakika 10 ulizozitaja Klopp anawapa Milner na Lallana ambapo ndiyo yalipo mapenzi Yake.

Lakini uhalisia ni kwamba Watu hawa Watatu (Origi, OX na Gomez) wanahitajika kila Game lazima wapate dakika 20+ kama michezo 10 mfululizo.
 

Kwa Misimu miwili mfululizo iliyopita huwa December tunakuwa vizuri na inaonesha hata kama tunakuwa bize kiasi gani lakini bado tunaweza kuperform vizuri, So, ninaguess kuwa bize period + forced performance ndiyo inayofanya Jan - Feb tukapoteana.

That's why nikaona ipo haja ya Klopp kuwaweka Fiti Origi, OX, Keita, Gomez na Brewster kwa ajili ya hichi kipindi ili waweze kufanya some possible rotations kwa zile easy home games.
 
Hata huna haja ya kutaja Article! Mimi mwenyewe nilishawahi kulisema hilo!

Matip hapewi sifa anayostahiki but ni Defender mzuri tu na wala haina haja ya kusubiri Siku atakayofanya Blunder tuanze kufukua Makaburi.
Hata hivyo VVD ni better himself

Matip is the unsung hero...this season he has many interception than any EPL defender
 
Hizo dakika 10 ulizozitaja Klopp anawapa Milner na Lallana ambapo ndiyo yalipo mapenzi Yake.

Lakini uhalisia ni kwamba Watu hawa Watatu (Origi, OX na Gomez) wanahitajika kila Game lazima wapate dakika 20+ kama michezo 10 mfululizo.
Mkuu Milner anaandaliwa mkataba mpya aisee naona bado hawa ma brexits bado tunao
 
Leo nimeshuhudia moja ya mechi mbovu kabisa tokea msimu huu wa ligi uanze....kilichonipa raha ni arsenal walau kuchuka point hapo Trafford

Ni vizuri hizo taarifa ungepeleka kwenye jukwaa la Arsenal au man u.sijaona kama zinatija huku kwa Liverpool.
 
Kwa mantiki hiyo ni kwa nini Liverpool haijachukua EPL kwa miaka 29(ishirini na tisa na yote hiyo ikiwa ndani ya EPL) ?

Tusikariri wakati kutochukua kombe ambalo upo ndani ya michuano yake miaka 29 mfululizo ni tayari trend ya kukariri kabisa maana hakujakuwa na mabadiliko katika miaka 29 hiyo?

2013/2014 ilikuaje? Je haikujirudia 2018/2019 mkuu?

Tutakuja kufukua makaburi haya sio mbali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…