Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Klopp stick to what deliver him the points na si tofauti na hapo ndio maana hata sub zake utashangaa dakika ya 80 onwards...Kabisa
Tatizo ni Klopp huwa hawaamini madogo na sio mtu wa rotation
pointi 21 inapendeza zaidi...
angalau hio ugly ya msimu huu haijatuangushaMimi sio muumini wa hizi win ugly coz ndiyo zilizotuponz last season
one game at a time...August
Friday 9
Liverpool 4 - 1 Norwich City
Saturday 17
Southampton 1 - 2 Liverpool
Saturday 24
Liverpool 3 – 1 Arsenal
Saturday 31
Burnley 0 - 3 Liverpool
September
Saturday 14
Liverpool 3 – 1 Newcastle United
Sunday 22
Chelsea 1 - 2 Liverpool
Saturday 28
Sheffield United 0 - 1 Liverpool
Tumemaliza salama September kwa ushindi 100% sasa tunaingia katika mwezi wa October ambao tutakuwa na ratiba kidogo inayohitaji nidhamu ya hali ya juu ↓↓
October
Saturday 5
Liverpool – Leicester City
Saturday 19
Manchester United - Liverpool
Saturday 26
Liverpool –Tottenham Hotspurs
Tukichukuwa points zote 9 tutakuwa tumeweka Rekodi 2:
1) Timu iliyoshinda michezo mengi ya EPL 19 mfululizo kuliko timu yeyote ile (Rekodi inashikiliwa na Man City mwenye 18).
2) Timu iliyoshinda michezo 10 mfululizo baada ya kuanza kwa Ligi, Ambapo Rekodi inashikiliwa na Chelsea kwa kushinda michezo 9 mfululizo 2006/06
hongera kwa ushindi wa kwanza nyumbani chini ya Lampard....Apa mnapigwa zote ..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
October aiseeAugust
Friday 9
Liverpool 4 - 1 Norwich City
Saturday 17
Southampton 1 - 2 Liverpool
Saturday 24
Liverpool 3 – 1 Arsenal
Saturday 31
Burnley 0 - 3 Liverpool
September
Saturday 14
Liverpool 3 – 1 Newcastle United
Sunday 22
Chelsea 1 - 2 Liverpool
Saturday 28
Sheffield United 0 - 1 Liverpool
Tumemaliza salama September kwa ushindi 100% sasa tunaingia katika mwezi wa October ambao tutakuwa na ratiba kidogo inayohitaji nidhamu ya hali ya juu ↓↓
October
Saturday 5
Liverpool – Leicester City
Saturday 19
Manchester United - Liverpool
Saturday 26
Liverpool –Tottenham Hotspurs
Captain Marvelous hiyo EPL anayotaka kui'land' pale Anfield msimu huu mimi siioni.Klopp stick to what deliver him the points na si tofauti na hapo ndio maana hata sub zake utashangaa dakika ya 80 onwards...
hana muda wa trials this is the year to deliver us the EPL trophy...
Mpira anaoupiga Mo bora Origi akawa in place of Mo, anyway I shall concur with his planseti form is temporary but class is permanent...he wont regain his top form akiwa benchi i guess that why Klopp keep him there...
Msimu huu hatupo vizuri 'ki hivyo' lakini vile vile timu nyingi hazipo vizuri pia hivyo kutokana na hilo naamini msimu huu its finaly coming home maana siamini tutarudi nyuma we will get better as days goes by...Captain Marvelous hiyo EPL anayotaka kui'land' pale Anfield msimu huu mimi siioni.
Liverpool tuna safari ndefu sana kuja kuchukua vikombe vya ndani
Origi ni super sub ni nadra sana tutamuona akianza mechi huyu ni wa kutokea benchi...Mpira anaoupiga Mo bora Origi akawa in place of Mo, anyway I shall concur with his plans
Kloop na vijana wake watajipanga vyema kukimbizana na hii Oct tutatoboa salama...October aisee
Ni hatari sana !
cant say otherwise, this kind of games will come vs Everton, Foxes, Wolves are all well drilled teams so patience and utilizing whatever chance well...on analysing again our win today vs SHU, I have realized that most of us have jumped on the "unpretty, ugly, etc" bandwagon simply because it was a narrow 1-0 result.
there're even crazier analysts who claim eti "LFC was outplayed". nonsense!
Liverpool outplayed by Sheffield United but stays perfect after keeper's error
Premier League-leading Liverpool continued its perfect start to the season by winning its seventh consecutive game on Saturday, despite being outplayed for much of the match by promoted Sheffield United.www.yahoo.com
let's look at it this way.....
had both sides converted their clearest chances that came their way (4 for LFC out of which they scored 1 and 2 for SHU who missed both), the FT score could have read SHU 2-4 LFC, talking of which am pretty sure everyone out there would be referring to the game at FT as a "thriller".
granted, we didn't play as well as we normally can but we were neither mediocre nor outplayed nor lucky (in fact talking of luck, i think we were very unlucky with the 3 straightforward chances that Mane & Salah failed to convert).
Norwich 3-Man City 2kuna kigogo gani wa kumsumbua man city?