Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
WORLD CLASS DEFENDER ASUMBULIWE NA STRIKER WA UMISSETA?Uyo vvd ajiandae Abraham atamsumbua sana leo..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ollachuga hana tofauti na masau bwire
This time around bado mapema,inabidi achange karata zake vyema la yatamkuta ya kusotea mid table position,kheri ili limetokea mapema kabla ya kukutana nayeJumamosi 28 September
SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL
EVERTON v/s MAN CITY
Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
Mkuu sio katika gemu za mapema hivi na ukizingatia matokeo yao hayaridhishiJumamosi 28 September
SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL
EVERTON v/s MAN CITY
Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
huyu Msomali hakika ni mpambanaji, kumbe benchi na mchezaji akiwa chaguo la tatu ama nne linawafanya kujituma na kua serious zaidi...Joel Matip vs Chelsea
68% passing
5/6 aerial duels - most in game
3/3 tackles - most for Liverpool
9 clearances - most in game
1 interception
Rock solid 👊🏻
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....Jumamosi 28 September
SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL
EVERTON v/s MAN CITY
Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
huyu Msomali hakika ni mpambanaji, kumbe benchi na mchezaji akiwa chaguo la tatu ama nne linawafanya kujituma na kua serious zaidi...
Spurz sion wakimtimua poch ,Mkuu sio katika gemu za mapema hivi na ukizingatia matokeo yao hayaridhishi
makocha ambao muda wowote kabla ya Januari 2020 wanatemwa ni
1) Marcos Silva Everton
2) Ole wa Manu
3) Mauricio wa Spurs
Hawa nao sioni wakimaliza msimu
1) Steve Bruce wa Castle
2) Santo wa Wanderers endapo hawatolewa Europa mapema basi huyu Nuno sioni akipona..
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....
ingekua Liverpool ya 2017-2018 ningesema hii gemu tutoka sare...
pazuri wanakuja nyumbani na hapo watajua pamoja na sifa yao ya kua timu kongwe zaidi duniani Anfield sio mahala salama...
natarjia kikosi cha kazi kazi tuwazima mapema...
Uyo hawez kufukuzwaSpurz sion wakimtimua poch ,
Halafu mbona unamsahau Unai emery , katika hiyo list
Hahahah Hawa hapa[emoji33][emoji33][emoji33] ndo wenye timu soooon watarudi[emoji123][emoji1787][emoji1787]hahahahaha hawa jamaa sijui Webb na Fergie 'waliwaroga' ama ni vipi...
mi nadhani wawatafute hao wazee wawili wawapigia magoti waachilie nyota yao ya ushindi...
Club legend Nevile kabla Ole hajapewa kazi rasmi alishauri wasubiri mpaka msimu uishe ndio apate hicho kibarau mazima lakini sasa Ole kushinda zile mechi 8 uongozi,mashabiki wakaona huyu homeboy ndie new Fergie wasisubiri tena apewe mikoba...kama nuksi baada ya kumtangaza rasmi kama kocha wao ndio balaa za vipigo na sare zikaanzia pale pale mpaka wa leo...
safari hii hatumuachi ugenini ama nyumbani...
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....
ingekua Liverpool ya 2017-2018 ningesema hii gemu tutoka sare...
pazuri wanakuja nyumbani na hapo watajua pamoja na sifa yao ya kua timu kongwe zaidi duniani Anfield sio mahala salama...
natarjia kikosi cha kazi kazi tuwazima mapema...
Carabao j5 inabidi wakina Rhian+ Eliot waanze kukipiga tuone cheche zaoWith Origi injured Rhina should start getting minutes now than ever...
Rashford, Mount and Abaraham should be encouraging the young lad that all is possible..
Walipe tu mkataba mpya[emoji41] ukiacha kukaba fresh mi linanikoshaga linavyo dribble mpira mpaka mbele kweli siku izi lina kitu Cha tofauti hili lijamaa..huyu Msomali hakika ni mpambanaji, kumbe benchi na mchezaji akiwa chaguo la tatu ama nne linawafanya kujituma na kua serious zaidi...
Poch Anaweza akasogezea mzigo man u huyo..maana kule sahiv hakuna namna..kama walifukuza the chosen one + the special one hawashindw kwa huyu aliyeletwa kwa kivuli cha mtoto wa nyumbani..Spurz sion wakimtimua poch ,
Halafu mbona unamsahau Unai emery , katika hiyo list