Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
au LALLANA FABBY HENDO
GOMEZ LOVREN VVD ROBBO
GOMEZ MATIP VVD ROBBO
Klop Kesha jiandaa kwa sare.Lakini sitoshangaa nikiikuta Mido ya
MILNER - FABI - HENDO
Klop anapata Tabu bure. Fabby acheze 6. Gin ampe 10 na Keita( if fizikale fiti) apige 8.√ Ukiangalia Front 3 yetu imedumu Constant kwa takriban misimu mitatu sasa.
MANE - BOBBY - SALAH
√ Beki yetu pia ipo Contstant kuwa kila game unless patokee injury
RBBO - VVD - MATIP - TAA
√Lakini ukiangalia Mido yetu mpaka leo bado inachange hakujawa na ile Mido Constant FXI why? Hii ni kwasababu Hata yeye Klopp anajua kuwa ana shit Midfielders ambapo kila wakati anajaribu kuibadilisha kutazama ni combi ipi itaperform vizuri lakini anaishia kukosa ubora wa uhakika. That's why huishia kuangukia palepale kuwa GINI-FABI-HENDO.
Mfano wa Mido Klopp anazohangaika nazo
• GINI-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-GINI
• GINI-FABI-OX
• OX-FABI-HENDO
• MILNER-FABI-HENDO
• LALLANA-FABI-HENDO
At least FABINHO ndiyo ameweza kujihakikishia namba kwenye Timu
Me too...English game.Lakini sitoshangaa nikiikuta Mido ya
MILNER - FABI - HENDO
Jk afanye mpango kwa Maddison kwa kweli..Bredan jana swiched the system na Maddison akacheza his favourite namba 10...na the boy scored a beauty...
Mauricio is under pressure now....
[emoji16][emoji16][emoji16] leo umemkumbuka lallana ..au LALLANA FABBY HENDO
GOMEZ LOVREN VVD ROBBO
GOMEZ MATIP VVD ROBBO
[emoji41][emoji106]...Kama kawaida leo my best Line-up:
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - FABI - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ADRIAN
Bench napenda wawepo:
KELLEHAR
GOMEZ
LOVREN
MILNER
AOC
XHAQIRI
BREWSTER
12 na nusu jioniWakuu game muda gani?
..Origi& keita hawapo...Gini anaweza akaanza nadhani Ox atapewa nafasi leo...Klop anapata Tabu bure. Fabby acheze 6. Gin ampe 10 na Keita( if fizikale fiti) apige 8.
Kwa kuwa forward yetu ni Kali, Beki wa adui hawatapanda kuogopa spidi za mane Sala Bobby.
Wkt huo mido ya adui itarudi nyuma kusaidia backline yao.
Hiyo itakuwa advantage kwa liver kwa full backs kuongeza mashambulizi kupitia flanks.
Mwl anachachawa hofu woga.
Bench Kuna Origi milner Ox lallana. Xhakir.
Centre back zetu ziko vizuri. Klop aache uoga.
Good they have paidLiverpool paid a £1m settlement to Manchester City after the Etihad club complained that their scouting system had been hacked, Sky Sports News understands.
√ Ukiangalia Front 3 yetu imedumu Constant kwa takriban misimu mitatu sasa.
MANE - BOBBY - SALAH
√ Beki yetu pia ipo Contstant kuwa kila game unless patokee injury
RBBO - VVD - MATIP - TAA
√Lakini ukiangalia Mido yetu mpaka leo bado inachange hakujawa na ile Mido Constant FXI why? Hii ni kwasababu Hata yeye Klopp anajua kuwa ana shit Midfielders ambapo kila wakati anajaribu kuibadilisha kutazama ni combi ipi itaperform vizuri lakini anaishia kukosa ubora wa uhakika. That's why huishia kuangukia palepale kuwa GINI-FABI-HENDO.
Mfano wa Mido Klopp anazohangaika nazo
• GINI-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-GINI
• GINI-FABI-OX
• OX-FABI-HENDO
• MILNER-FABI-HENDO
• LALLANA-FABI-HENDO
At least FABINHO ndiyo ameweza kujihakikishia namba kwenye Timu
Keita kapona, so anaweza kukaa benchi leo..Origi& keita hawapo...Gini anaweza akaanza nadhani Ox atapewa nafasi leo...
Ila ni tough game ..
Jk afanye mpango kwa Maddison kwa kweli..