Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Klop Kesha jiandaa kwa sare.
Anasema akitoa sare itakuwa POA.
Na wewe umeamini hivyo kuwa alichokisema ndiyo alichokimaanisha? Ukocha ni taaluma na ndiyo aliyotumia pale kuwachezea Mind game Chelsea
