Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
MTAZAMO:
Napoli Vs Liverpool IX
Adrian
Gomez. Matip. VVD. Robo
Fabinho
Ox. Hendo.
Salah. Boby. Mane
Prediction for 1st Eleven
Adrian
Gomez-Matip-VVD-Milner
Fabinho-Hendarson-Charmblain
Mane-Firmino-Salah
Wewe ni kenge kuanzia leo mpaka keshozile nne bado zinakuwasha ila usiwaze Liverpool atakupapasa kidogo tu mind you game ya leo hamshindi mmesalimika saana droo na mkishinda niite Kenge
#ushabikikwaafya
zile nne bado zinakuwasha ila usiwaze Liverpool atakupapasa kidogo tu mind you game ya leo hamshindi mmesalimika saana droo na mkishinda niite Kenge
#ushabikikwaafya
Ulichovuta usirudie kukivuta tena. Kinakuletea madhara.Aman iwe nanyi
Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain
Leo Valencia atakula si chini ya gor tano
Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono
Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool
Tukane saa nne wazee wa champion
Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k
Nimemaliza
LONDON BOY
Chelsea hapati ushindi leo labda ushindi sabuni ya kufulia maana ina povu la kutosha.... niongeze sauti?Aman iwe nanyi
Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain
Leo Valencia atakula si chini ya gor tano
Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono
Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool
Tukane saa nne wazee wa champion
Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k
Nimemaliza
LONDON BOY
hahaha.... hapo kwa liverpool umechemsha.
sawa lets seeWewe ni kenge kuanzia leo mpaka kesho
Milner Yuko bench Hendo akianza ndo mzuri kuliko kutoka sub..My Opinion
Hapo Hendo na Milner wamechafua hiyo Squad
Milner naona inapendeza akitokea benchi kama tunahitaji kukaba let say tunaongoza
Hiyo na untd lini!? ..namuona keita!!!?Salah gemu za Manchester United hana msaada kwetu, hizo gemu apigwe benchi
Salah gemu zake ni za Chelsea na Tottenham View attachment 1209650
Kwa milner kuanza namba 3 !!..labda sub tushashinda then mfumo uwe 3-5-2 ..(mtazamo)Prediction for 1st Eleven
Adrian
Gomez-Matip-VVD-Milner
Fabinho-Hendarson-Charmblain
Mane-Firmino-Salah
..TAA leo vs Napoli akianza na Jmilner na Hendo waanze wote
Kwa upande wangu (Maoni yangu) hichi ndiyo kikosi cha CL na EPL
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - FABINHO - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISON (ADRIAN)
Subs:
ADRIAN
GOMEZ
MILNER
OX
ORIGI
XHAQIRI
KEITA
Yani siwezi kuwaweka bench TAA na ROBBO kwa reason yoyote ile isiyokuwa Injury au Suspension