Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Apo Kante Ngolo hajarud, Cheek, Rudger, Odoi ...

Wolves 2-5 Chelsea...

Tammy ana mpira wake, Salah na Mane hamna kitu ..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Chugga unazingua bana...waache hawa wanyamwezi wasaka EPL na UCL kwa hali na mali aafu njoo hapa mwezi sa Tano mwakani utuambie haya maneno yako...

hongera kwa ushindi...
 
King Ngwaba upo wapi , Puki kashaweka goli huko

Huyu Pukki ana vizizi si bure! Yani katoa assist halafu kafunga!

Na alivyomuhuni
Liverpool kamtia goli
Chelsea kamtia goli
Man City kamtia goli
Akimdungu Arsenal
Akimdungua Manure
Akimdungua Spurs atajiwekea rekodi ya kuwagonga Top Six wote! Na uwezo wa kuwatia goli wote Home and Away anao hatakama Norwich itapoteza mchezo.

Simjui umri wake lakini Natamami aje Liverpool
 
Sisi tunakuja taratibu hatuna haraka mkuu ..wewe endelea kuongoza tu sisi tunajua ni wap utapotea..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]

Hebu subiri Next weekend ukajifiche kijijini kwenu Ulyampiti
 
Ni mzee yule dingi
 
Ni mzee yule dingi

Pukki ni developing player na huu ukali wake anao tokea muda mrefu akiwa brondby.
Statistics za Huyu jamaa ni Kali sana.
Sio mzee kama unavyofikiria kwa wafuatiliaji wa mipira lazima walikua wanamfahamu balaa lake tokea muda huko nyuma.
Developing player wanaiva jinsi umri unavyozidi kusogea.
Bado tutegemee balaa lake yeye na Cantwell kwa timu watakazokutana na Norwich huko mbeleni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…