Kila kitu kina muda wake.Nilijua tu katika Post yako yoyote lazima utatanguliza Dharau (Huyo Jamaa Hamna Kitu)
Sasa Kama wewe ndiyo bingwa wa kupost vitu vyenye kumake sense kwanini kwenye post zako unajiwekea Defensive mechanism kwa kutanguliza kudhoofisha wengine?
By the way! Turudi kwenye hoja
Madison ni new version ya Lallana tu Hamna kitu pale.
Angelikuwa mchezaji asingelikiepo pale alipo
Pep, Klopp, Emery, Poch, Ole wote wameshindwa kumuona kama kweli mchezaji?
Aisee ina maana sasa kulikua na mwakilishi wa Liverpool, Agent wa Fekir, mwakilishi wa Lyon na Mwakilishi wa Familia....aaaa hapo bora kuchomoka na kuwaacha wajijue wenyewe maana hizo wangetukamua kinyama....Inasemekana ni his Family hawakuitwa na yeyote Bali wameibuka tu from nowhere kuja Ku-intervene negotiations baada ya kuona dili ni kubwa ili na wao wajipatie Mkwanja.
bring the black & white come this saturday wamekwishaaaaAngalau tumetoka kwenye International break bila ya injury yeyote
sio Barca tu hapo utaona all the big guns financialy wakipiga hodi Manu, Real, PSG, Juventus...maana hao naona kwa sasa wanataka ready made players ukimuondoa ManuNawaona Barcelona wakijiandaa kumchomoa pale Atletico baada ya misimu mitatu.
Kuna timu inaitwa 'Red Devils' na ina alama ya shetani kashika mkuki. Cha ajabu wewe ni mfuasi kindaki ndaki !Hii livapool ni ji team la kikafiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaanisha spurs ama??bring the black & white come this saturday wamekwishaaaa
hapana Mkuu Newcastle ndugu ndio pia huitwa nyeupe na nyeusi au kwa jina lingine Castle au Black stripes....Spurs ni Nyeupe pee WhitelaneUkimaanisha spurs ama??
here we go again...to be honest this next games in this Sep are damn tricky...6 games in less than 3 weeks?!
likely to shape how our season will pan out pre-festive season.
thisView attachment 1204753
hapana Mkuu Newcastle ndugu ndio pia huitwa nyeupe na nyeusi au kwa jina lingine Castle au Black stripes....Spurs ni Nyeupe pee Whitelane
Ninachowapendea liver sio hamuuzi ,ila mnajua kuwatandika bei .sio Barca tu hapo utaona all the big guns financialy wakipiga hodi Manu, Real, PSG, Juventus...maana hao naona kwa sasa wanataka ready made players ukimuondoa Manu
Mkuu yaliyotukuta bei ya Andy Carol ni balaa jamaa walitupata vyema tulikua desperate kumpata strika wa kumridhi Nando the El nino ila duh tukaishia kupata super pancha.....Ninachowapendea liver sio hamuuzi ,ila mnajua kuwatandika bei .
Klopp ndio amemtaka abakiMSIKIENI DEJAN...
"I feel relief the transfer window is closed. I got tired of reading and listening every day about me leaving or staying in Liverpool,” Lovren told Croatian newspaper Sportske Novosti.
“Everyone wrote 'Dejan is here, Dejan is there', and knew nothing! It annoyed me.
Yes, I did consider moving, I knew I gave my best for Liverpool, won Champions League and I am not kind of player that likes to be benched and earn money.
Some people around me advised me ‘What do you care, you are in big club, shut up take the money’ But I am not happy on the bench.
"I feel very happy because all the time I felt LFC was by me, I respect that a lot. Klopp told me ‘Listen, buddy, you are [a] top class player, we will not let you go on loan. We need you.’
“I wanted to leave, it didn't happen, I was told Liverpool needs me and I accepted that.
"Last week I spoke to Klopp again, he told me he understands me, knows I am not happy, but he also said "Look, now it is finished, I want you to reset your head, I find you important.
“I am in my prime age, in great shape, mentally ready and you can not buy experience."
Lovren has less than two years remaining on his current Liverpool deal, which could see the Reds change their stance over selling him in the coming months.
He is currently fourth in the pecking order behind Virgil van Dijk, Joel Matip and Joe Gomez.
kwa kweli ni choice ya nne kwa sasa ana pocket £90,000 kwa wiki sasa hapo tu ndio mpaka kumwelewa Klopp inabidi mpaka msimu uishe tuone mchango wake kikosini tutaujua kama ilikua sahihi abakiKlopp ndio amemtaka abaki
Ni kwamba mechi hazijaanza kuchanganya kumbuka mwezi wa 12 karibia mashindano yote tumo mpaka klabu bingwa ya dunia ..lazima wawepo wazoefu Kama wale wakushikia pindi majeruhi ya kikosi Cha Kwanza yakiwakumba....Ila plan ya yule dogo beki mholanzi na ki_jana hoever na madogo wengine walio ndani na nje(mkopo) pia walichukuliwa rangers ni kwaajili ya Steven Gerrard ..jk atakapopumzika 2022 ...bado tutakuwa imara.kwa kweli ni choice ya nne kwa sasa ana pocket £90,000 kwa wiki sasa hapo tu ndio mpaka kumwelewa Klopp inabidi mpaka msimu uishe tuone mchango wake kikosini tutaujua kama ilikua sahihi abaki
ni sahihi kabisa kuanzia Septeba hii mechi zinakua nyingi mno na ni kweli pia back up inahitajika kila namba ili ikitokea majeruhi and i FORBID basi kuwe na wachezaji wenye uzoefu ku supplement mahitaji yetu hilo ni muhimu....hata msimu uliopita Lovren alichangia sisi kuchukua UCL pindi alivyohitajika....japo hao akina Ki Jana wangekua pia back up sawa kwangu kuliko huyu jamaa yaaani simwamini kamwe...ame stuck kabisa pindi achezapo EPL hua kiroho kinadunda maana muda wowote ni janga aisee...Ni kwamba mechi hazijaanza kuchanganya kumbuka mwezi wa 12 karibia mashindano yote tumo mpaka klabu bingwa ya dunia ..lazima wawepo wazoefu Kama wale wakushikia pindi majeruhi ya kikosi Cha Kwanza yakiwakumba....Ila plan ya yule dogo beki mholanzi na ki_jana hoever na madogo wengine walio ndani na nje(mkopo) pia walichukuliwa rangers ni kwaajili ya Steven Gerrard ..jk atakapopumzika 2022 ...bado tutakuwa imara.