Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,794
Punguza hasira. Japo kweli hii game kaonyesha uchoyo dhahiri, lakini ataelekezwa na watakutanishwa na mane na mambo yatakuwa poa.Huyu Salah anatakiwa akalie Benchi, anaivuruga Timu
Utapata tabuKila la kheri timu Yangu Burnley
Come on Burnley
Hua ikitokea Mane akatangulia kufunga basi kuanzia hapo Salah huwa anawaza kufunga tu na yeye...kuna siku huu ubinafsi wake uta tucost..Salah hapa amefanya kosa la wazi mpaka Klopp kamaind
Salah ni mbinafsi sana nimeona mpaka mane kalalamikaBobby was at an open space ambayo anaweza kuscore bila pressure yoyote lakini hakumpa pasi
i like to see players this hungry to score but Salah is being too greedy....hata goli la Bobby alikua apige Bobby akamuwaiJurgen Klopp to Sky Sports: " Mane is an emotional guy, we are all individuals. Something went not like he wanted, it is not the substitution. We will clarify it in the dressing room.
I hope ataadress kwa kumwambia Salah kuwa umezingua sana
yeah ule mpira ulienda mbali ndo Bobby akapiga.i like to see players this hungry to score but Salah is being too greedy....hata goli la Bobby alikua apige Bobby akamuwai
hii lipo wazi ndugu tangua msimu unaanza Mane na Bobby wakitolewa Salah hubaki uwanjani...yeah ule mpira ulienda mbali ndo Bobby akapiga.
Pia sijui ni mimi ama vipi lakini naona Klopp ana kaupendeleo fulani kwa Salah kwenye sub. Ni mara chache sana kuona anamtoa Salah anamuacha Mane ndani regadless Salah anazingua kiasi gani uwanjani siku hiyo.
Kawaida ya klopp kwa wale wachezaji wake regular akiona wanapoteza form huwa anatabia ya kuwapa nafasi sana nadhani ili waridishe form. Kumbuka msimu uliopita kwa Frimino na Hendersonhii lipo wazi ndugu tangua msimu unaanza Mane na Bobby wakitolewa Salah hubaki uwanjani...
sifahamu vyema mamuuzi hayo ni kwa ajili ya set up uwanjani ama la...kwa jicho la kawaida tunaweza sema anapedelewa...
Tukimfunga Newcastle nyumbani baada ya mapumziko mechi za kimataifa tutaweka rekodi mpya ya kushinda mechi 14 mfululilizo...
Liverpool are only the second English top-flight side to win 13 in a row while scoring more than once each time (after Tottenham in 1960).
Since the start of last season, no Liverpool player has scored more goals in all competitions than Mane (30 - level with Mohamed Salah).
pengine upo sahihi ndugu labda nyuma ya pazia kuna hilo la form....Kawaida ya klopp kwa wale wachezaji wake regular akiona wanapoteza form huwa anatabia ya kuwapa nafasi sana nadhani ili waridishe form. Kumbuka msimu uliopita kwa Frimino na Henderson
bro napingana na weweBado salah ni mchezaji bora kuliko mchezaji yyte wa liverpool kwangu mm, hakuna asiye haribu katika mchezo tena mchezo wa mpira.
I concur with you... sijui Bobby angekuwaga mbinafsi ingekuwaje?bro napingana na wewe
If bobby angekuwa na roho kama ya Salah sidhani kama tungefanikiwa hivi
Salah ni selfish PERIOD
aache upumbavu LIVERPOOL NI BIGGER THAN HIM
tunataka EPL zaidi ya yeye anavyotaka golden boot