Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku umeanza kufukiri kiufinyu sana mkuu, yani roho ya uhaters imekuandama mpaka umeanza kufikiri ovyo hovyo, wake up and open your brain
 
Samahani, wewe ni katika wanaoamini mafanikio ya mpira yanapatikana kwa Maombi?

Tafadhali nifundishe namna ya kumuombea Hendo ili awe na kipaji angalau kama cha Milner tu.
Uliposema hendo na lovren wapotee halikuwa ombi ni nini? Umekuaje siku hizi ndg yangu daaaaah?
 
Siku umeanza kufukiri kiufinyu sana mkuu, yani roho ya uhaters imekuandama mpaka umeanza kufikiri ovyo hovyo, wake up and open your brain

Pale unapokosa hoja au facts na kuanza personal attacks kama hizi basi sins zaidi ya kukwambia kila la kheri.

Mimi hupenda mijadala na watu wanaonipa changamoto ya hoja na facts na sio wanaotumia misamiati ya 'ufinyu wa kufikiri'... 'kufikiri ovyo hovyo'... n.k. hiyo inatafsiri kuwa unanidharau ili nijione dhaifu kwako unayepigana a losing battle.

Ni bora ungeleta Facts hapa za kuprove huo ufinyu wangu wa fikra upon wapi?
Huko kufikiri ovyo kuko wapi?

Ni sawa na yule wa mshabiki wa Manure kwenye Uzi wao baada ya kujiproud kwa Makombe, mimi nikamuekea mchanganuo mzima wa Makombe yote ya Liverpool na ya Man United basi akashindwa kuchallenge nilichomletea akaishia kunishambulia.

Smart guy hutumia Facts kuprove what is right
Noise maker hutumia attacks kuprove who is right

I rest my case
 
Uliposema hendo na lovren wapotee halikuwa ombi ni nini? Umekuaje siku hizi ndg yangu daaaaah?

Hilo halikuwa ombi...

Lovren tayari ameshapotezwa kwa maamuzi ya kocha kumfanya Fourth choice kwahiyo hakupotea kwa Maombi bali kwa ubovu wake ndiyo uliyomfanya aondoshwe kikosi cha kwanza. Na ndiyomana ananadishwa kama Tikiti lakini hakuna timu inayomtaka hata kwa £10m.

Henderson pia hatopotea kwa Maombi Bali ni kwa Maamuzi ya Kocha kusajili Mido yenye kipaji! Au kwa OX na Keita kuwa fiti (free from injuries).
 
Changamoto kubwa inakutesa ni pale unapotumia nguvu nyingi sana kutetea unachokiamini badala ya kufikiria vzr, pole sana mkuu, wewe endelea kupambana sisi wengine hatujazoea hivi utakavyo ww, acha niendelee kusubiria ushindi kesho
 
Tomorrow (My Line-Up):

MANE - BOBBY - SALAH

AOC - FABI - HENDO

ROBBO - VVD - MATIP - TAA

ADRIAN

Subs

Lonerger
Gomez
Gini
Milner
Origi
Lallana
Xhaqiri

Defence ikitulia tu basi ushindi ni mweupe! Lakini ikijichanganya basi Auba atajua nini afanye.
 
Mkuu hapa umetumia hasira kuandika...Uncle Milner unamjua vizuri..anyway Liverpool japokuwa hatukusajili na tulitakiwa kusajili, lakini naamini kikosi chetu bado kipo vizuri...Wale wanaoendelea kuenzi Uafrika (kulialia na kulalamika) waendelee na tunaoangalia solution ya tatizo tuendelee kuwapa moyo wachezaji wetu....In football, No perfect 11
 

Katika Uzi huu sijawahi kuandika/Kulalamika kuwa "TUNA KIKOSI KIBOVU" wala Sijawahi kulalamika kuwa "TUNA KOCHA MBOVU" lakini kinachonishangaza kila ninapoleta Mjadala hapa kuhusu hii Timu yetu watu huniattack kwa kauli hizi Why?
Au kjna mtu anahack Account yangu then anaandika "LIVERPOOL NI MBOVU?" na "KLOPP NI KOCHA MBOVU?".

Mimi sijasema Liverpool ni Mbovu! Bali napoint specific player na Kusema ni Mbovu! Kwahiyo nasema Hendo ni Mbovu.

Ninacholalamikia ni Kuwa " HATUNA KIKOSI KIPANA"..

Kwahiyo ningeomba watu watofautishe kati ya "KIKOSI FINYU" na "KIKOSI KIBOVU".

Hakuna ubishi ni kuwa Liverpool tuna kikosi bora nyuma ya Man City tu kwa pale EPL.
 
Hendo aende benchi upande wake aende Ox na kushoto acheze Gini
 
Good..lakini tambua kuwa hatuko kwenye position ya kumtaka kila mzhezaji mzuri na tukampata....Tuwasupport waliopo tu
 
Nakuelewa sana mkuu, umecomment vzr sana, asipoelewa na hapa tumwache tu
 
Hapa ndipo watu wengi wanakwama tushindane kwa facts ,big mind discussing issues not personalities nakuunga mkono .
 
Here are the main points from Jurgen Klopp’s press conference

√ He says the good times are ahead for Alex Oxlade-Chamberlain after the fit-again midfielder penned a new contract

√ No return date for Alisson but the goalkeeper is no longer on crutches

√ Naby Keita is also “doing well” but not ready for this weekend

√ Nothing to say on Dejan Lovren and a potential exit

√ Calls for a unified international date on when the transfer window closes
 
he is earning too much to warm the bench and being injury prone hatufai tenaaaaa....hata bure wamtoe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…