Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea aliingia fainali msimu ule wa Benitez japo atukubeba..
 
Kituko kingine hiki
Mna kikosi dhaifu sana ..allison, Adrian wote hakuna ..VVD keshaanza kuchoka, Salah naye ivyo ivyo, firmino hana sumu yeyote ya kutisha ..apo kati fabihno anapwaya, milner mzee[emoji23][emoji23] ..Ox, Keita ..ni wahudhuriaji bora wa hospital.. Mane kwa mbaali ndo anaibeba Liverpool ..Gomez, matip ni wachezaji wa kuapanda na kushuka, shaqir ni bench wormer mnategemea nin tena? Kama Chelsea ya akina Tomori, Mount, Tammy, Zouma, imewatoa kamasi akina Salah mkikutana na giant club kama Barca(mtasingizia mliifunga), Juventus, Spurs na madogo kama akina Wolves, Leicester, aise...
 
Sema mnazidiwa nguvu. Kipindi hiki ambacho mmekuwa wasindikizaji kwenye ligue mmepunguza sana mashabiki. Mnazidiwa na Arsenal sasa kwenye kuwa na mashabiki

Liverpool haijawahi Kupoteza Mashabiki.
Sema Kipindi Liverpool iko katika Mafanikio (1970 - 1980s) mpira wa Ulaya (Ligi ya Uengereza) haukuwa Popular Barani Afrika na Asia ndiyomana Liverpool haukuwa na Mashabiki wengi kihivyo.

Lakini Kipindi Man United anatawala Soccer la England akifatiwa na Arsenal (1990 - 2012) tayari Afrika na Asia imeshachotwa na Mpira wa Ulaya ndiyomana Vijana wengi wa Kiafrika na Asia wakajitupa kwenye Timu hizo kwasababu ndiyo walizokuwa wakiziona zinapata Mafanikio (Kubeba Kombe la Ligi Kuu EPL). Na wachache ndiyo Kwaroho Ngumu tukajitupa Liverpool na Chelsea. Na Msururo Mkubwa wa Mashabiki wa Chelsea ukaongezeka mwaka 2005 baada ya Kuja Mourinho ambao wengi wao kama sio wote umri wao ni Below 30yrs.

Kwahiyo Liverpool haijapoteza Mashabiki bali imemaintain Mashabiki wake ambao kwa Kipindi kikubwa waliremain Constant bila ya kuongezeka.

Lakini kwasasa tutapata Newcomers wengi tu.
 

Hivi utaacha lini kuvuta Bange?
 
Mumpate Nani.. Team yenu msimu huu top 4 kwa taaaaabu subiri muone... Pumbaaaaf nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mumpate Nani.. Team yenu msimu huu top 4 kwa taaaaabu subiri muone... Pumbaaaaf nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa wa man u unafurahisha kama avatar yako, juz mmempiga mgonjwa 4-0 umekuja kwa kasi , wakati una timu mbovu, najua utapotea soon , unatembea kila jukwaa unatamba tu .
 
Mumpate Nani.. Team yenu msimu huu top 4 kwa taaaaabu subiri muone... Pumbaaaaf nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wa kwanza kumpata ni Dadayako, Wapili ni Bwana Wako mana Nina Uhakika Hujaolewa Bali Unamegwa Kama Mchepuko tu, Watatu ni Mamayako pia tunaweza Kumchukuwa Kama Mashabiki Wetu.

Mpumbaaf nimekujibu Kipumbaaf. OVA
 
Mkiona timu hii ya akina Salah, VVD, Mane, haibebi EPL basi hamtachukua tena na itawachukua muda kuireplace. Mmshukuru sana Klop lakn mjue atabaki kwa miaka mingi maana ndogo yake ni either aje kufundisha Bayern na hata National Team. Sasa mashabiki wataongezeka lini? Alafu usiilinganishe Chelsea na Liver kwenye mashabiki. Chelsea tuko mashabiki wengi sana.
 
Kuna mashabiki na mashabiki maandazi ambao ni nyie kwa umoja wenu
 
Hii livapool ni ji team la kikafiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
well without any addition esp for real AM wizard will cost us big this tym...i thought Klopp should have gone for Insigne or Bruno...but then its was just wishes....

i wont say otherwise maana this is the real 3rd game of the season and am a bit concerned with this new Klopp approach on how to use Gini cz i dont know when its will click to see him shinning in that new role but and if that will happen tutakua tumeumia as soon games will come a bit tricky kama sasa kesho ni Southmpton next ni Arsenal...these two games if the boys dont shrug this laziness we are witnessing now then we are in hot soup...Southpton away always is a problem and even Unai without his proper 1st 11 walicheza vyema sana vs Newcastle...

Kilichomfanya Klopp kutonunua kuamini anakikosi kizima sana mpaka sasa nabaki kushangaa mno..na kama sivyo basi huu mfumo mpya unaotuacha uchi pale kati ni balaa sanaaa.....tunakaribisha mashambulizi mpaka kuchosha hawa mabeki mwishowe watachoka mapema na hatuna like for like subs...hata Faby mechi hizi mbili amekimbizwa mpaka hii ya Chelsi alipata muscle pull..

nadhani huu mfumo ulifeli Pre season tukaambulia vipigo ilikua ni ishara tosha kwa Klopp that he need to stick to what ws winning us games lakini sio.kuleta mfumo mpya just to accomodate akina Hendo, Ox, Gini...

This season well ndio kwanzaa asubuhi and i hope Klopp will prove me wrong this time...

hilo la majeruhi tema mate chini maana ikitokea mandogo wameumia tutakua tumejiodoa kwenye.mbio za top 3 rasmi...
 
Firmino definetly the real engine to make our front two guys in Mane and Salah click...he is the real deal when on song and he rarely dissappoint...and its very true this season he mean busines esp wt those eye catchng assist...

i dont have any issues with Salah and Mane being in competition cz that will make then better and better with more goals so the better for the team...

if this three boys can stay fit and pick where they left previous season then we will be in much more position to challenge realisticaly whats can be won...

Surez Sturidge competition was awesome without G8 slip and that crazy Crystal palace game we were almost capturing 19th EPL trophy...

Mane works hard and Salah work rate for the team is also improving day by day...

i beg to differ a bit on Salah greediness...he aint that greedy only that he try to score in damn tight angles which to me instead of scoring he will be better giving a pass to open up and be in a position to score...the numbers dont lie for Salah he is up there but am positive he can score more if just try a bit passing n setting himself in to score...

Long live Firmino the brain...proud Red.
 
Lol, Comedy FC..

huyo Keeper mwingine tuliyemsajili baada ya Adrian, anaitwa nani? yaani hata sikujisumbua kumfatilia..

Ndiyo atakuwa golini game ya kesho? Lord have mercy.
weee huyu mbabu kutoka Middles sijui Longad or whatever...kwani Andrian kaumia au Klopp still wanting to prove pple he is the boss...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…