Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naby Keita.

Yes, i blame Guinea kwa kumchezesha kwenye AFCON akiwa bado hajarecover vizuri, but LFC's doctors ndiyo walitakiwa wawe makini sana, hawakutakiwa kumruhusu aondoke Liverpool wakati akiwa bado haja-recover vizuri, uzembe waliofanya kwa Keita, umejitokeza tena kwa Alisson (they rushed him back kwenye team bila a proper rest/internal medical checkups), and nitashangaa kama Klopp asipofukuza/kubadilisha jopo la madaktari.


Kwenye last game yetu ya Pre season, Keita was very sharp, up to speed and hungry, he's ready for this season, and uzuri ni kwamba yeye na Faby wote wamejifunza/wanajifunza English now, so communication uwanjani should be easy now.

and, i think he'll start Vs southampton..
 
Hapo mido watu tushaongea sana even after community shield defeat kua kuwategemea kina gini/hendo or milner ni suicidal but came the game against the newcomer norwich watu walikuja hapa kuthibitisha eti gini ni jinias wa kiungo, man mid ambaye hatii maguu hata tottenham ndio tumtegemee katika mbio za kushusha epl anfield after a long long time?. Mkuu vipi mtazamo wako kuhusu Origi is he a backup of mane/firmino or just a squad player?
 
If, anything...game ya jana imeonesha kuwa Firmino and especially Sadio Mane are our most important players upande wa attacking..

Mane, i dont know what to say about this African Young prince, one of the best players to ever played for this football club..

Am proud to be African.
 
HENDERSON i don't have any grudges against him, but curse be upon the man who gave him armband.
 
Concurred
 
Gini is so useless now.

I like him a lot, but a fit Keita/Ox should be starting ahead of him.


Origi, is not that good, but as a backup we couldnt ask for more, siyo aina ya mchezaji wa kumtumia kwenye kila matches (week in/week out), but he's a very good backup.

alikuwa ana tatizo la confidence kipindi cha nyuma, but goals zake za last season (Everton/Newcastle/Barca/Spurs) zimeboost sana confidence yake, he'll have a very very good season.

bado tunakosa a last ditch creator (BS/Cou/Harvetz), hybird ya wide/central attacking CM.
 
Man, we destroyed Nabil Fekir career.

after his knee problems went public, it was so obvious hakuna club kubwa ingemfuata, kwasababu tu ya public relations.

hope atakuwa na msimu mzuri, Real Betis.


Good footballer.
 
HENDERSON i don't have any grudges against him, but curse be upon the man who gave him armband.

Kuna kila dalili ya kuwa Hendo atastaafu akiwa Captain na Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza cha Liverpool.

Sioni dalili yoyote ya Klopp kusaini Midfielder ambayo anahisi itamueka Bench Hendo.
 
Mganga wake ni mtabe, imagine ke8ta leo anacheza LM ili jamaa lijitanue pale kati katika harakati za kuboresha mbio zisizo na msingi wowote, yday ox kasukumizwa lw jamaa linamanga manga tu pale kati, broh, uchawi upo imagi even I mere peasant from matombo can see the guy is bum, but the guy have totally illuded our gaffer as a best mid in the park
Kuna kila dalili ya kuwa Hendo atastaafu akiwa Captain na Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza cha Liverpool.

Sioni dalili yoyote ya Klopp kusaini Midfielder ambayo anahisi itamueka Bench Hendo.
 
I wish him all the luck, maybe he can be new lo celso
Man, we destroyed Nabil Fekir career.

after his knee problems went public, it was so obvious hakuna club kubwa ingemfuata, kwasababu tu ya public relations.

hope atakuwa na msimu mzuri, Real Betis.


Good footballer.
 
Match ya pili tu meshaanza kuijudge timu..??no wonder mkianza mambo yenu ya "klop out"
sisubiri mechi ya mwisho kusema ninachokiona juu ya wachezaji ndugu....haya ni maoni yangu tu na sio ya wengine...hio "mmeanza" ndio akina nani...

hata wachambuzi majuu huchambua mechi baada ya mechi penye kusifia wanasifia na penye kuponda wanaponda...

wewe subiri mechi ya 37 ndio useme yako...
 
this boy seems a bit tired kuliko mchezaji mwingine wa 1st 11...no wonder Fabi anakua overworked...

ya Barca that is past we shold focous in the future...

Mosdef am a bit pessismetic about this season no matter how i look am seeing 1st or 2nd position evading us big tym...so many dummy mistakes th players r making..
 
my boy wt shinnng earrings Bobby wow those two assist for prince Mane to score make me wonder if Klopp ws in his right mind kummweka benchi...

Bobby n Mane ni pound for pound period waanzie benchi kama tu ni wagonjwa au ni FA ama Carabao...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…