Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
i salute Lamps this is how u bounce back from losing EPL to Manu...whats a responseKlopp aachane na hawa waingereza hapo katikati , Chelsea wameshaanza kelele zao
Keita majeruhi ndugu yangu...HT liverpool 0-1 Chelsea.
Tumecheza hovyo japo tumetengeneza nafasi chache na tumeshindwa kuzitumia. Kante, Jorginho na Kovacic wamewazidi uwezo Fabby,Milner na captain Edo.
Backline yetu, imefanya makosa mengi. Kama forward line ya chelsea wangekuwa makini wangeshatuadhibu. Sijaona chochote alichafanya ox zaidi ya kuwa mzigo pale mbele.
Ni muda wa kumpumzisha Edo na mills na nafasi zao achukue Ginni na Keita. Ox arudi bench Bobby aje kumaliza hii show. Pia kama kutakuwa na sub ingine Gomez naye apumzishwe na TAA ichukue nafasi yake.
Chelsea wamecheza mpira mkubwa na wenye kuburudisha.
Klopp ndio kapanga kikosi aisee...Siyo Klop Chelsea ndo inawatia presha maana hata Klop mwenyewe yuko under pressure
Klopp mpaka Leo kwanini hasikii kuwa ile midfield ya waingereza hai function ,i salute Lamps this is how u bounce back from losing EPL to Manu...whats a response
Klopp n his army ni kama bado tupo preseaon mode...
this is poor from us not near our best...Kante is bypassing our midfield like he won that park...
Klopp ndio kapanga kikosi aisee...
Leo hii acheni unafiki nyie... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niseme tu ukweli sijawahi kuwa na imani na Klopp hata siku moja.
Usini QUOTE mkuu pleaseLeo hii acheni unafiki nyie... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2nd half, tia gin, firmino, TAA
hua nikimkosa Firmino 1st 11 nakosaga kabisaaaa imani ya ushindi....Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
Yamekuwa hayo [emoji23][emoji23]Niseme tu ukweli sijawahi kuwa na imani na Klopp hata siku moja.
sijui jamaaa hucheza kamali?? π π π π π πKlopp mpaka Leo kwanini hasikii kuwa ile midfield ya waingereza hai function ,
Lakni Uefa ilifunction. Wewe tulia unyolewa ili uje ufunge domo lako kwenye Uzi Wa ChelseaKlopp mpaka Leo kwanini hasikii kuwa ile midfield ya waingereza hai function ,