Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea wanapaswa kuchukua hatua za makusudi haraka sana wamfukuze huyo chalii kabla ya September

Lampard hana tatizo lolote pale! Tatizo kikosi walichonacho Chelsea ni cha Wachezaji wabovu wa viwango vya Championship.

Mount, Abraham, Zouma, Pedro, Giroud, Barkley, Christensen hawa si wachezaji wa kushindania kombe lolote (EPL au UCL).
Ni wachezaji wa Mickey Mouse Cups na Championship.

Sasa Lampard amekabidhiwa timu katika Transfer Ban ikiwa ina wachezaji wabovu unadhani atafanyaje?
 
Spurs nao watafanya makubwa tu subiri uone

Beki ya Matip na Gomez ndio itupe EPL really?

Ngoja tuone

Binafsi sijaona sababu za msingi za kwa nini hatujatumia hela za kutosha kusajili dirisha lililofungwa juzi

Mkuu Mabeki wetu (VVD, Matip na Gomez) wana uwezo Mkubwa sana kinyume na unavyodhania.

Tatizo kwa muda huu nikwamba Gomez bado hajapata match fitness kutokana na kukaa nje na majeruhi kwa muda mrefu tu.

Lakini baada ya kama michezo Minne tu basi atarudi kwenye ubora wake.

Na kuhusu Matip ni moja ya mabeki wazuri kabisa pale EPL naweza kisema anazidiwa na Laporte, Maguire, VVD, Gomez (Akiwa Fit) na Otamendi tu.

Hata last season kacheza uzuri sana tu.

Kwahiyo kwenye Defence hatuna tatizo, bali kwasasa tatizo lipo kwenye Midfield na kuumia kwa Alisson.

Kwahiyo sisi bado msimu huu tuna nafasi kubwa zaidi kushindania EPL kama hatutopata injuries kwa Key players wetu.

Na muhimu OX na Keita waweze kurudi katika Fomu ili waongeze kitu kwenye Midfield yetu.
 
Dah, bro I wanted to write the same. Mane mchoyo mno,
Acheni uongo mpira unachezwa hadharani na sisi tunaona pia,

Salah ni mchoyo toka game ya community shield badala kutoa pass kuwapa wenzake anang'ang'aniza kupiga anakosa na sio mara moja

mkaja na hadithi za kumtetea hapa kua ndio nature ya mfungaji kujaribu kupiga ili ashinde ila wapi kafanya hivyo hivyo kwenye game ya norwich bahati yake sema alishinda hio game

Kama Salah akijaribu kufunga akakosa sio uchoyo bhasi na Mane sio mchoyo msiwe na double standard nyie watu asee.
 
HII NI KUJIPA UNNECESSARY PRESSURE
 
Tusijipe moyo na hii tim ya wachezaji 15 tu.

Kwangu mimi ni udhaifu mkubwa unongoza 4 mechi na Norwichi unamuingiza Milna na Mane ambae hata mazoezi hajafanya ni sawa hii?

Tusitegemee chipukizi yoyote kufanikiwa baadabya wale waliotumika na Brendan Rogers
 
spot on!
 
Keeper Al Becker atakaa nje kwa couple of weeks
Keeper wetu hakupumzika vya kutosha,katoka EPL kaenda final ya UCL kaenda Brazil mashindano ya mabara
Kakaa weeks 2 karudi Liverpool kaanza tena kucheza
Ni matumaini yetu wkt anauguza huu mwezi atapumzika vya kutosha
 
vipi kuhusu Mo Salah, Firmino, Sadio Mane ikiwatokea?
nao hawajapumzika, tuombe Mungu arejee
 
Hao Matip na Gomez wana makosa makosa mengi sana ambayo yana translate to goals to concede
 
Huyu kocha sera yake kuhusu kumintegrate mtoto yeyote wa Academy ni mpaka mchezaji wa first team apate majeruhi ambacho ni kitu naona cha ajabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…