Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haikua rahisi sema tulikua vizuri lakini mwenzetu alikua vizuri zaidi.
Wote tulikuwa vizuri mkuu

Arsenal na Man Utd ilitakiwa tuwatandike nje ndani , Man City ilitakiwa tuwapige walipokuja Anfield

In short msimu wa 2018-2019 draw ambazo zilikuwa zinaingia akilini ni mbili tu, ya Chelsea pale darajani na Derby pale Goodison park

Leicester na Westham walikuwa wa kupigwa nje ndani nao, siku tunadraw hizo mechi nilicheki maoni ya International Liverpool fans na wengi wao waliziita zile lineup alizopanga Klopp a 'Joke'
 

Gossip zinasema Barca watatupiga bei ya zaidi ya pauni milioni themanini kama valuation ya Coutinho wakati huo huo zipo cheaper options kama Bruno Fernandez, Houssem Aouar, alikuwepo Sarabia pia wote hawa ni viungo washambuliaji wazuri tu
 
naunga mikono na miguu kwa pamoja yes coutinho arudi atatufaa sana tu
 
Liverpool are working on bringing back Philippe Coutinho to Anfield. The Reds have tabled a two year loan deal with an option to buy set at £88M. The midfielder has given his approval on the move.
 
Liverpool are working on bringing back Philippe Coutinho to Anfield. The Reds have tabled a two year loan deal with an option to buy set at £88M. The midfielder has given his approval on the move. View attachment 1154596
Nakumbuka alisema dream yake ni kucheza Barcelona, akafikia mpaka hatuaakawa anajiliza kama mtoto mdogo ili aondoke hahahahahahahaha Agombanie namba hukohuko yeye si fundi wa mpira.
 
Man city awe na backup kubwa sijui ndogo cjui nini, 2019/2020 tutamnyoa tu bila ganzi, majogoo yanaeneda kumpanda
 

Sioni ulazima wa kung'ng'ania kumnunua Coutinho kwa ≥ £100m wakati kuna options Nzuri kibao na ≤ £100m za kununua.

By the way ikiwa atarudi Liverpool sina tatizo naye as long as hatakuwa tena icon wa Timu kama alivyokuwa zamani wakati kuna SALAH na VVD kwasasa ndiyo Nembo za Liverpool.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…